fredymkanza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 284
- 152
Nataka kahamia Mwanza ni maeneo yepi mazuri ya kuishi ambayo hayapatikani na madhara kipindi cha mvua na wala hukai chini ya miamba?
Ushauri tahadhali
Ushauri tahadhali
Nataka kuhamia Mwanza ni maeneo yepi mazuri ya kuishi ambayo hayapatikani na madhara kipindi cha mvua na wala hukai chini ya miamba?
Ushauri tahadhali
Kodi apartment katikati ya jijiNataka kahamia Mwanza ni maeneo yepi mazuri ya kuishi ambayo hayapatikani na madhara kipindi cha mvua na wala hukai chini ya miamba?
Ushauri tahadhali
Njoo igoma na nyumba zangu kodi 30 kwa mwenziNataka kahamia Mwanza ni maeneo yepi mazuri ya kuishi ambayo hayapatikani na madhara kipindi cha mvua na wala hukai chini ya miamba?
Ushauri tahadhali
Nakushauri vuka ferry ukaishi pale kijijini Kamanga unaweza kuenjoy sana, Bila shaka utapata nyumba kwa bei rahisi na utakuwa unavuka kwa feri kwenda na kurudi town!Kodi za nyumba katikati ya Jiji ni bei gani single room?
Zikoje na kukojeNjoo igoma na nyumba zangu kodi 30 kwa mwenzi
So kamanga ni kisiwa? Ndani ya ziwaNakushauri vuka ferry ukaishi pale kijijini Kamanga unaweza kuenjoy sana, Bila shaka utapata nyumba kwa bei rahisi na utakuwa unavuka kwa feri kwenda na kurudi town!
MmmhKoromije.
Deo ni naniWasiliana na Deo Kisandu yupo Mwanza
Mkuu google ni wana JF mwenzetu mzuri, yafaa awe mwenyeji wako.Deo ni nani