Nataka kuhamia Mwanza je ni maeneo yapi mazuri kwa kuishi

So kamanga ni kisiwa? Ndani ya ziwa
Hapana, sio kisiwa. Ni mwendo wa nusu saa kuvuka kwa feri, hapo ndio barabara ya kwenda Sengerema hadi Geita, Bukoba; etc inaanzia. Lakini kuna barabara nyingine ya kuelekea hizo sehemu kutokea jijini Mwanza inapitia Busisi Ferry, umbali wa kama kilometa 40. Hapo Kamanga pako poa sana, hakuna vurugu kama za town, ila itategemea na shughuli zako maana sina uhakika kama feri ya Kamanga ni masaa 24 labda wenyeji wa huko watujuze maana mimi ni mpita njia tu huko Mwanza japo huwa napita njia hiyo mara kwa mara!
 
Feri ya kamanga sio masaa 24 ya busisi ndio inafanya kazi masaa 24
 
Kapripoint kwa matajiri sana
sejemu nzuri ya kuishi

1. Mkolani
2, nyegezi maeneo ya calfonia
 
Back
Top Bottom