MSAADA: Maeneo ya kutoa out watoto Jijini Mwanza

Seth seth

Member
Jan 2, 2022
95
135
Wakati huu wa likizo nimeona watoto wangu wasahau kidogo masuala ya assignment na kukimbizana na mavitabu ili wainjoy kidogo.

Sasa nauliza kwa wenyeji wa Jijini Mwanza ni maeneo yapi ya kuvutia ambayo nikiwatoa out watoto wangu watafurahia na kurefresh mind?

Nawasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom