Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,819
- 78,522
Afrika kuwa mwanasiasa ni sawa na kusema unataka kua tajiri, ni kwakua mtu ukishashika wadhifa wa kisiasa kutekeleza ulivyoviahidi hua inakua ngumu.
-Kuna bajeti kutotosha.
-Kuna kua nyuma kiteknolojia.
-Kuna ufisadi.
-Kuna kutokua na kipaumbele.
-Kutoendana na sera na falsafa za chama.
Mwisho wa yote mbunge unajikuta upo bungeni unapokea mshahara na kila ulichowaza kuwafanyia wananchi hakiwezekani.
Utabaki kuwapa vocha, sukari, chumvi n.k.