Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,603
- 1,841
Salamu kwenu wakuu!!
Niheshima yangu kuwaombeni mchango wenu was mawazo ili kufanikisha Adhima hii.....!
Natoka familia Maskini yenye mzazi mmoja wa kike pekee, japo Baba yupo lakin hakunijali toka utoton hata mkewe wa ndoa hajijui na watoto wake hawanijuai japo Mimi naijua familia yake (Baba) kwa 85% lakin wao hawanijui.
Mimi ni Mtanzania kwa kuzaliwa na nimesoma hapa hapa nchin, Elumu chuo kikuu flani hapa Tanzania,
Natazamia kufukia 2019 nitakuwa nime hitimu digrii yangu ya Pili katika fani FLANI HIVI ambayo ni mwebdelezo wa hii Undergraduate niliyo nayo ........!
Sija wahi kuwa Mwana siasa wala mfuasi wa chama chochote mpaka sasa!
Lakini naumia sana Jimbo letu huwa tuna letewa wabunge ambao si wazawa wa jimboni, na wengine ni huwa hawana hata Uhalisia wa Kitanzania hudhaniwa ni wakuja!
Mpaka sasa jimboni kwetu hatuna hata Hospitali ya Wilaya, Shule sekondari na Misingi ni Mbovu zote, Mahakama ya Wilaya, Miundo mbinu mibovu hatuna hata bara bara za Molamu n.k n.k n.k!
Naogopa kutaja vyote ili wengi wasijue Niko Wilaya gani TZ.
Nahitaji KUWAKOMBOA WENZANGU WANA KIJIJI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU.
Natanfuliza shukurani kwenu nyote mtao changia na Matao pita kuperuzi na kutoa Comments za kimoyo moyo!
ASANTENI NYOTE!.