Nataka kugombea Ubunge hapa Tanzania 2020

Pia katika harakati hizi nilijaribu kupeleka NGO's moja hivi katiaka Sekta za Elimu, Kilimo, Afya na Mazingira! Lakini nimegonga mwamba kwa Ukiritimba nilio kutana nao kwa Mkurugezi na Wake wa Idara.......
Japo hawakujua nia yangu kuwa nilitaka ku-interact na jamii.
Bado sujafa moyo nitawarudia tena.....
CORRECTION,
Mkurugenzi na wakuu wake wa Idara
 
Kujichanga na watu ni muhimu sana ila usikae nao muda mrefu yaani isizidi dakika ishirini ktk story, kama ni sehemu yenye mjadala ni nusu saa na ukichangia mada changia mada inayovuta hata usipooneka siku moja watu wanaanza kukuulizia kwani watu wamevutiwa na Uchambuzi wako yaani umekwiva, na hii utaipata wapi ni magazeti na hilo jukwaa ni muhimu sana ndugu. Ni
Kuhusu kutokumpa mtu muda mrefu yaani wasikuchoke.
Asante mkuu.
 
Jikaze tu mkuu
Ukijiamin unaweza
Na ukajipanga vzr

Hakika utalibeba jimbo lako mwenywe
 
Jitahidi sana kukutolea kwa watu wenye shida sio mpaka umpe mtu fedha ile kumjulia hali ni sehemu ya kujitolea , misiba, harusi za huko usiwe mvivu wa kuchangia na kuhudhuria.
Pale mtaani unakotoka jitahidi kadri ya uwezo wako ktk jambo ambolo liko ktk uwezo wako lifanye utatengeneza uwanja mzuri sana ktk harakati zako
 
Jambo la kwanza ni Nia.
La pili Agenda.
Tatu, mipango.
Nne. Mikakati.
Tano, uthubutu na utekelezaji.
Sita, mafanikio.

Usiruke kipengele hata kimoja.
 
Jitahidi sana kukutolea kwa watu wenye shida sio mpaka umpe mtu fedha ile kumjulia hali ni sehemu ya kujitolea , misiba, harusi za huko usiwe mvivu wa kuchangia na kuhudhuria.
Pale mtaani unakotoka jitahidi kadri ya uwezo wako ktk jambo ambolo liko ktk uwezo wako lifanye utatengeneza uwanja mzuri sana ktk harakati zako
Nime uchukua ushauri wako mkuu Asante.
 
Asante nime vi-note mkuu!
Yaah mkuu.

Kwenye mikakati yako lazima ukae karibu na Wakubwa wa Chama hicho kinachoendana na misimamo yako. Lazima ujue namna ya kufanikisha malengo yao ikibidi kuyafukia yakwako kabisa kwani hii itakufanya uchote imani yao kwako.

Jitokeze sasa hivi kwa sababu 2020 sio mbali. Tafuta mzee mmoja mwenye nguvu chamani umuombe urafiki kisha ukiona amekubali baada ya uhusiano kuwa mzuri na wewe kujipendekeza vya kutosha. Muulize hivi.

Wewe: hivi mzee kwa nini hukugombea Ubunge?(Kama hakuwa mbunge). Kama alikuwa utauliza hivi;
Wewe: hivi mzee kwa nini uliamua kugombea ubunge?
Sikiliza majibu yake. Huku ukiuliza maswali ya kuchimbua zaidi.

Mwisho muulize na mwambie Nia yako.
Mfano;
Wewe: hivi ukiniangalia naweza kuwa mbunge?
Msikilize
 
Nimeipenda hii.....
 
Back
Top Bottom