Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Mimi naishi hapa Dar..Nina Desktop Computer zangu nane, natamani sana kuanzisha Training Centre ingawaje mimi sitakuwa nafundisha..Natafuta mtu ambaye tutashirikiana katika mtaji huo, yeye achangie kulipa kodi angalau ya miezi sita,viti na meza..
Nipo tayari kwenda kusajili Centre yetu kwa sababu vyeti ninavyo na tutashirikiana kutafuta walimu wazuri wa kuifanya Centre yetu ijulikane na kupata wanafunzi wengi na kutoa elimu bora..Kwa sasa naishi Kinondoni.
Natanguliza Shukrani zangu za Dhati..