Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Computer na Security Systems

mimi20

Member
Jan 16, 2021
14
24
Natafuta kazi kwa mwana jf ya kufundisha masomo ya computer na security systems both practical na theory

Masomo ya computer ambayo ninayofundisha ni

1. Computer application

2. Desktop publishing

3. Computer management systems

4. Computer repair and maintanance

5. Laptop maintanance n repair

6. IT TRAINING JOBS PROFFESSIONAL

NA KUHUSU MASOMO YA SECURITY SYSTEM NAFUNDISHA MASOMO YAFUATAYO

1. Security management

2. CCTV security training

3. Fleet management systems

4. GPS installations

5. Electric fencing

6. Access control systems

Pia kama ukiacha swala la kufundisha mimi pia ni technician huwa ninatengeneza computer lakini pia nafunga vifaa vya security hivyo nitashukuru

Mwana JF yeyote akinisaidia swala hili lakini kama kuna mwana JF angependa kujifunza pia namkaribisha.

Hivyo njoo PM tuwasiliane.
 
Tangazo lako haliko complete ungesema location yako pamoja na namba yako ya simu,,,,..,biashara ni matangazo mkuu,unaweza pata wateja hapa eidha wanafunzi au wakuwafanyia kazi
 
Natafuta kazi kwa mwana jf ya kufundisha masomo ya computer na security systems both practical na theory

Masomo ya computer ambayo ninayofundisha ni

1. Computer application

2. Desktop publishing

3. Computer management systems

4. Computer repair and maintanance

5. Laptop maintanance n repair

6. IT TRAINING JOBS PROFFESSIONAL

NA KUHUSU MASOMO YA SECURITY SYSTEM NAFUNDISHA MASOMO YAFUATAYO

1. Security management

2. CCTV security training

3. Fleet management systems

4. GPS installations

5. Electric fencing

6. Access control systems

Pia kama ukiacha swala la kufundisha mimi pia ni technician huwa ninatengeneza computer lakini pia nafunga vifaa vya security hivyo nitashukuru

Mwana JF yeyote akinisaidia swala hili lakini kama kuna mwana JF angependa kujifunza pia namkaribisha.

Hivyo njoo PM tuwasiliane.
Unapatikana wapi, Ada zikoje, Mawasiliano muhimu
 
Ninahitai mwl wa IT ila kwa Moshi, Kama upo tayari tuwasiliane 0717157640
 
habari mkuu,Nilikua natafuta mwalimu kwa ajili ya kunifundisha masomo uliyo yaorodhesha hapo juu,nakuja pm tuyajege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom