Nataka kufungua Computer school mtaani kwetu

Nataka kufungua Computer school mtaani kwetu

Cherrylicious

Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
37
Reaction score
2
Jambo wadau,

Ninataka nifungua ka school/chuo cha computer mtaani kwetu kwani nimeona hakuna mtaani na ina demand kubwa.

Msaada wapi nitapata computers kwa bei nzuri?
 
Itarun software gani hizo computer na budget una sh ngap?
 
software basic kwa ajili ya kufundishia ...word...excel and the likes...kwa kuanzia nataka kama comp 6
 
Budget yako ipoje?

Decent computer za core 2 duo/quad ni around 200,000 hadi 270,000 kwa pc zinakuwa full kila kitu hadi monitor ya inch 17 flat ambayo ni almost full hd. Andaa kama 1.5m kwa idadi unayotaka.

Duka lipo moja kkoo linaangalizana na msimbazi kituo cha polisi kumeandikwa cheap computers.

Kama utataka kumix zipo pc za i3 2120 machinga complex floor ya jamaa wa pc around 350,000 bila monitor.
 
Mkuu niPM, kuna jamaa anauwezo wa kukuuzia computer za desktop flat screen, kwa shilingi laki mbili tu, ni compliti. Kama unahitaji ni PM. Hata ukiitaji computer 10 utapata.
 
software basic kwa ajili ya kufundishia ...word...excel and the likes...kwa kuanzia nataka kama comp 6

Ukihitaj mwalimu wa operatng system,excell,word,powerpoint,publisher, basic computer na mambo mengine kiujumla npo hapa (If there is need)
 
Budget yako ipoje?

Decent computer za core 2 duo/quad ni around 200,000 hadi 270,000 kwa pc zinakuwa full kila kitu hadi monitor ya inch 17 flat ambayo ni almost full hd. Andaa kama 1.5m kwa idadi unayotaka.

Duka lipo moja kkoo linaangalizana na msimbazi kituo cha polisi kumeandikwa cheap computers.

Kama utataka kumix zipo pc za i3 2120 machinga complex floor ya jamaa wa pc around 350,000 bila monitor.

Asante nita wa check
 
Back
Top Bottom