BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Sheria ipi hiyo? Wewe una ndoa? Mimi kwenye ndoa yangu sikupewa masharti ya sherehe.Kisheria ndoa lazima iwe na sherehe.Ingawa sheria ya ndoa haijasema sherehe iwe vipi.Kwa hiyo fanyeni sherehe hata ya watu kumi tu haina tatizo.
Uko sawa, sherehe ni mbwembwe tu hazina kizuizi ktk kufunga ndoa. Tena ndoa ikiisha unamwambia na mkeo tangulia nyumbani mimi naenda kuangalia mpira.
Nimeipenda sana hiyo.
Ndoa kanisani sherehe ni anasa tu mnatumbua milioni 20 kwa masaa machache watu wakishaondoka mnaendelea kula ugali wa kulumangiaHii imekaaje wazee mwezi December nataka kufunga ndoa KKKT Mbezi Dar. Sasa watu wananishangaa kwanini sichangishi na wala siwaambii.
Mchungaji wangu ameniambia kazi yake ni kufungisha ndoa hayo ni ziada,
Hii imekaaje? Au mimi ndio wa kwanza kufanya hivi?
Hao wanaokushangaa.... ukiwapelekea kadi za michango wanalalamika chini chini....!!! Binadamu bhana...!!!Hii imekaaje wazee mwezi December nataka kufunga ndoa KKKT Mbezi Dar. Sasa watu wananishangaa kwanini sichangishi na wala siwaambii.
Mchungaji wangu ameniambia kazi yake ni kufungisha ndoa hayo ni ziada,
Hii imekaaje? Au mimi ndio wa kwanza kufanya hivi?
Asante sanaMkuu tuko pamoja.... Hiyo ni namna nzuri sana
Fanya hivi... Alika ndugu jamaa na marafiki wote hapo kanisani, baada ya ibada mnapata kama robo saa ya kuabudu na kusifu kwa shangwe kuu ndani ya kanisa
Baada ya hapo mnapiga picha za ukumbusho nje ya jengo la kanisa kisha kila mtu atawanyike kwenda kwao. Itakua poa sana mkuu usijali
Ntakucheki PM
Mkuu uko sahihi..mimi mwenyewe hiyo kitu ya sherehe ndo big problem...nilimwambia sherehe sio ishu...cha msingi ni pale kanisani Mungu kubariki kupitia mtumishi wakeWanaume wengi hawapendi mambo ya sherehe sometimes hawa dada zetu ndio wanaforce sana.
Honeymoon ni chumbani..hakuna haja ya kucomplicate sanaKwahiyo wewe ht honeymoon hutaki waende duuu
Dada divine nime Ku pmYap mzima. Hivi sijakujibu swali ngoja niangalie Pm.