Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Wana JF
Nataka nifuge samaki ila naomba msaada kwa yafuatayo
1. Naomba mnijuze kuhusu usalama wa hao samaki maana kwenye kiwanja changu sina fence
2. Nawezaje kuwalinda ili sumu isiwekwe ndani ya bwawa kuwaua samaki wote
3. Nawezaje kuepukana na wizi wa samaki hao nyakati za usiku
Naoba ushauri.
Wana JF
Nataka nifuge samaki ila naomba msaada kwa yafuatayo
1. Naomba mnijuze kuhusu usalama wa hao samaki maana kwenye kiwanja changu sina fence
2. Nawezaje kuwalinda ili sumu isiwekwe ndani ya bwawa kuwaua samaki wote
3. Nawezaje kuepukana na wizi wa samaki hao nyakati za usiku
Naoba ushauri.
kama yapiMkuu, mambo ni mengi kuliko hayo, hayo ni madogo sana kwenye ufugaji wa samaki. Maana unaweza piga fence kama ya Ukonga na samaki wasifikie viwango. Yapo mambo ya msingi zaidi.
Nikipata majibu ya haya ndio nitaenda kujifunza ili nianzeKujenga uzio/fence ni muhimu
Huzuia predators wasiweze kula samaki pili usaidia kuzuia wizi wa rejareja katika mabwawa yako kwaio ni muhimu sana ikiwezekana unaweza kuweka ata nyavu kwa ajili kuvunika hao samaki wasiweze kuliwa na predators kama ndege ambao watatua moja kwa moja kwenye bwawa.Hakika ukifanya hivo ni vigumu samaki kuwekewa sumu kwa sababu kuna uzio.je unataka kufuga samaki una taaluma ya ufugaji au mtaalamu wa ufugaji
Umepima udongo wako, au utatumia liner/tank? Umepima maji( water source) au utavuna ya mvua? Je kuna seapage?kama yapi
Ni vizuri kupata semina ya ufugaji kabla au uonane na wataalamu ili uweze kufahamu changamoto zilizopo maana unaweza kufuga samaki kwenye uzio/bila uzio lakini wakashindwa kukidhi kiwango kinachotakiwa kwenye soko ikakupelekea kupata hasara.Nikipata majibu ya haya ndio nitaenda kujifunza ili nianze
Ndomana mi pia nikamshauri kuonana na wataalamu au kuchukua mafunzo mafupi ya ufugaji wa samaki ambayo yatampa mwanga aanze na kipi afate kipi,maana uzio hauna faida sana endapo yeye hana uelewa wowote wa ufugaji wa samaki.Umepima udongo wako, au utatumia liner/tank? Umepima maji( water source) au utavuna ya mvua? Je kuna seapage?
Hahahaaaaa kufuga mbwa mkali, umesahau kuwa mbwa upenda kuogelea samaki watakuwa matataniFuga Mbwa Wakali
Dr shika ameshatufundisha dawa ya mbwa
Mkuu Kwani mbwa hawatumii hiki kitoweo?
unanipoteza nataka nifuge sato, samaki wa ziwa tanganyika, samaki wa ziwa nyasa, samaki wa nyumba ya mungu na samaki wa ziwa victoria.Ni vizuri kupata semina ya ufugaji kabla au uonane na wataalamu ili uweze kufahamu changamoto zilizopo maana unaweza kufuga samaki kwenye uzio/bila uzio lakini wakashindwa kukidhi kiwango kinachotakiwa kwenye soko ikakupelekea kupata hasara.
Je unataka kufuga samaki kwa aina gani ya ufugaji ?
Intensive fish culture system ambayo inahitaji high capital
Semi intensive fish culture system ambayo inahitaji semi capital
Extensive fish culture system ambayo inahitaji low capital
Asante kwa kumkumbusha hilo la tuitionNdomana mi pia nikamshauri kuonana na wataalamu au kuchukua mafunzo mafupi ya ufugaji wa samaki ambayo yatampa mwanga aanze na kipi afate kipi,maana uzio hauna faida sana endapo yeye hana uelewa wowote wa ufugaji wa samaki.