Wadau! Nimetamani kufanya tour nchini Zimbabwe. Mipango yangu ni kutumia usafiri wa ndege hadi Harare na labda kutumia gari au ndege hadi Victoria Falls na maeneo mengine.
Kwa wenyeji Zimbabwe nishaurini lodge ama hotel za kufikia nzuri.
Kampuni ama mtu anayeweza kuwa msaada kunielekeza ama tukatembee wote maeneo ya vivutio Zimbabwe etc
Nakaribisha maoni na ushauri wanajukwaa..