Alblondys
Member
- May 22, 2025
- 22
- 26
Salam wana Jf.
Nina Simu yangu Samsung Galaxy Note9, Storage yake 128gb,
Ram 6gb.
Changamoto yake:
Flickering kiswahili sijajua vzuri ila Kioo ni kama kinaonesha kufifia hivi.
Kazi inafanya vizuri tu hai haina Kipengele kingine.
Nataka nifanye Top up nichukue Google Pixel au Samsung series Ingine.
Location: Nipo Moshi Tarakea.
Contact: 0692244903
Ikiwa mteja atakuwa Arusha au Moshi sehemu yoyote ninaweza kumfikia na tuka bargain.