Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Mmh kuridi bitwini ze laini sitaki dearest!Siku akinichoka ataniambia mtu mwenyewe ulijipendekeza bila hata kutamkiwa!

Mmmmmmmmmmmmmmh! Sasa si inabidi kila mmoja ajipendekeze kwa mwenzake?
 
Tunatoana ili tusioneane wivu dearest!Hamna kutesa kwa zamu...tunatesa pamoja!

ndo maana nakupenda.....wanaume wetu watakuwa marafiki kama sisi......l.o.l

i wish iwe true unajua.....am smiling hapa as if its happening.....crazy me!!
 
........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu! Kwa hisani ya MPENDWA umri wangu ni miaka 23!

Aiseee! Kumbe bado kabinti katamu tu . . . . !!!
 
Dearest yani as long as the man is capable of loving me..i'm good!Umri ni namba tu!

he is capable...you will have to see and decide for yourself.....he is not in JF....what should i do????

sasa kuhusu umri what if he is ten years younger Lizzy?
 
ndo maana nakupenda.....wanaume wetu watakuwa marafiki kama sisi......l.o.l

i wish iwe true unajua.....am smiling hapa as if its happening.....crazy me!!

Hehehe!Ingependeza sana dearest!Crazzy world...inaweza tokea siku moja ujue!
 
........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu! Kwa hisani ya MPENDWA umri wangu ni miaka 23!

:A S 13::A S 13::A S 13: yaani hizo busara zote na akili you are only 23??? kweli umri si ishu....huh?????:A S 13::A S 13::A S 13:
 
he is capable...you will have to see and decide for yourself.....he is not in JF....what should i do????

sasa kuhusu umri what if he is ten years younger Lizzy?

Mwambie ajiunge basi!!Hahahahaha...Dearest bwana!Then ntamuadopt!
 
:A S 13::A S 13::A S 13: yaani hizo busara zote na akili you are only 23??? kweli umri si ishu....huh?????:A S 13::A S 13::A S 13:

Asante da Michelle kwa kuliona hiloo.. yaelekea atakuja kuwa waziri mkuu mzuri ( mama mwenye nyumba) lol...ngoja niongeze jitihada..lol
 
Back
Top Bottom