Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Lizzy my dear... If I had a young brother who is ready and matured, i would definitely push him over you

you are mature and kind, na if your age is 23, basi mama hongera sana, your wisdom kwenye jukwaa letu ni wa hali ya juu sana

Stay blessed
Ushafika 36

Kama scrapper fulani hivi 😂😂😂😂😂😂

JISHANGAZI
 
........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu! Kwa hisani ya MPENDWA umri wangu ni miaka 23!
Time flash fast aisee, imagine ndo nina miaka hiyo uliyo andika Dr Lizzy 😁😄
 
Back
Top Bottom