Nataka kubadili profession niwe mwalimu

Nataka kubadili profession niwe mwalimu

dtv

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Jaman nimemaliza udsm 2012 fani ya sociology na cna kazi ila nataka niende wizara ya elimu japo niwe mwalimu. naomben ushauri km inawezekana wadau
 
siku izi walimu ni wengi huwezi pewa kazi ya ualim na wizara mpaka usome postgraduate diploma ya ualimu mwaka1 hiyo kozi imewekwa kwa ajili ya watu ambao wamesoma degree tofauti na ualim kama law, account na zingine wanaotaka kua walim na wale waliosoma ualim ila walipata pass tu kwnye degree na wanataka kusoma master
 
Nenda kasome kozi ya Postgraduate Diploma in Education (PGDE), ni kozi ya muda mfupi kama miezi tisa hivi. Baada ya hapo utaajiriwa kama mwalimu serikalini na wataku-value kama mtumishi mwalimu mwenye first degree au kama kuna tofauti ni ndogo sana!!
 
Msaada wa kujua vyuo vinavyotoa pgde hapa Tanzania na hata gharama zake ikiwezekana.
 
DUCE, MUCE, TEKU, OUT na n.k!! Wacha uvivu ndugu! Wewe ni graduate bana, kama umeweza kucheza na JF unashindwa kusearch vyuo vinavyotoa PGDE Tanzania?? Nenda ka`gugu` utapata website zao, humo utajua kila kitu kama duration yake na fee lakini pia applications wanaanza kupokea lini mana vyuo vingi dirisha la 2013/14 lilishafungwa
 
Sory Wakuu Kwa Hy Ukmalza Hyo K2 Unbjriwa Mja Kwa Mja? Au Unaanza Kuomb Wizaran?
 
Kwa uandishi huu, hauwezi kuwa mwalimu! Hivi kwanza wajua kama ualimu ni wito? Njaa yako isikupeleke ukafanya kazi usiyokuwa na wito nayo! Hata hivyo, nina mashaka na shahada yako hiyo ya sosholojia!
 
eti ualimu ni wito" mtu mzima acha kuwa mfuasi wa kauli za kijinga. Kama ni wito mbona wanakatwa kodi... ahahah....division v bhana
 
Join Date; 10.01.2014.Posts; 40.Reply Power; 311.Likes received; 4. Likes given; 0.TOO YOUNG TO ARGUE CRITICALLY! Rudi shule kwanza, wenzako wako darasani, wewe unatuchungulia baba zako hapa JF!
 
Kwa uandishi huu, hauwezi kuwa mwalimu! Hivi kwanza wajua kama ualimu ni wito? Njaa yako isikupeleke ukafanya kazi usiyokuwa na wito nayo! Hata hivyo, nina mashaka na shahada yako hiyo ya sosholojia!

Acha Kukurupuka Unajua Aliye Anzsha Uz Huu M.A.S.A.B.U.R.I
 
DUCE, MUCE, TEKU, OUT na n.k!! Wacha uvivu ndugu! Wewe ni graduate bana, kama umeweza kucheza na JF unashindwa kusearch vyuo vinavyotoa PGDE Tanzania?? Nenda ka`gugu` utapata website zao, humo utajua kila kitu kama duration yake na fee lakini pia applications wanaanza kupokea lini mana vyuo vingi dirisha la 2013/14 lilishafungwa

Asante mkuu kwa kuniongezea maarifa.
 
siku izi walimu ni wengi huwezi pewa kazi ya ualim na wizara mpaka usome postgraduate diploma ya ualimu mwaka1 hiyo kozi imewekwa kwa ajili ya watu ambao wamesoma degree tofauti na ualim kama law, account na zingine wanaotaka kua walim na wale waliosoma ualim ila walipata pass tu kwnye degree na wanataka kusoma master

Umempa ushauri mzur na mm nilitaka kumwambia hivyo
 
Join Date; 10.01.2014.Posts; 40.Reply Power; 311.Likes received; 4. Likes given; 0.TOO YOUNG TO ARGUE CRITICALLY! Rudi shule kwanza, wenzako wako darasani, wewe unatuchungulia baba zako hapa JF!

ahahah... Jiangalie mtu mzima ovyo..am old enough na nachukua masters in mathematics so jiangalie na kauli zako ahahaha...
 
Join Date; 10.01.2014.Posts; 40.Reply Power; 311.Likes received; 4. Likes given; 0.TOO YOUNG TO ARGUE CRITICALLY! Rudi shule kwanza, wenzako wako darasani, wewe unatuchungulia baba zako hapa JF!

angalia ulivyo na upeo mdogo eti unaangalia joining date at jf ahahah.... Watu tuna account zaida ya mia hapa ..mburula
 
Back
Top Bottom