Nataka kubadili profession niwe mwalimu

Nataka kubadili profession niwe mwalimu

Wizara ya elimu fungua njia mtaani hapatoshi twendeni tukalekcha watoto wasiosikia, kama akifeli mshahara napata :A S thumbs_up:
 
Sory Wakuu Kwa Hy Ukmalza Hyo K2 Unbjriwa Mja Kwa Mja? Au Unaanza Kuomb Wizaran?

Andika kama mtoto wa kiume, inaudhi? Humu wanaingia watu wazima mnaishia kuandika ki sharobaro sharobaro tu.
 
Msaada wa kujua vyuo vinavyotoa pgde hapa Tanzania na hata gharama zake ikiwezekana.

duce wanatoa.
Masomo yanaanza mwezi wa 4 mpaka mwezi wa 2 ada zake ni kama 3.2M.
 
Siku zote ukimtegemea mungu huwezi kata tamaa.
Na pia usiishi maisha ya kukopi na kupest utahangaika bure
umeisha fikikiria ualim halaffu ukisoma ukamaliza miaka 3 then ukakuta tena walimu hawahitajiki ?
Je? Utahama tena? Stil kuna mambo mengi ya kufanya tofauti na kuajiriwa plz think big
 
Join Date; 10.01.2014.Posts; 40.Reply Power; 311.Likes received; 4. Likes given; 0.TOO YOUNG TO ARGUE CRITICALLY! Rudi shule kwanza, wenzako wako darasani, wewe unatuchungulia baba zako hapa JF!
chutama.....
 
Jaman nimemaliza udsm 2012 fani ya sociology na cna kazi ila nataka niende wizara ya elimu japo niwe mwalimu. naomben ushauri km inawezekana wadau

hapo tuu inaonekana huna moyo na ualimu, kalime tuu vitunguu vinalipa sana
 
Usikate tamaa bado mapema..pigania ajira kwenye taaluma yako.
 
hujitambui kwa kuwa hujui passion yako ni nini..ualimu si sehemu ya kujipumzisha kimaisha baada ya kupigwa sana na jua mtaani...hautakuwa commited kwny kazi yako. degree holder halali njaa stupid
 
ahahah... Jiangalie mtu mzima ovyo..am old enough na nachukua masters in mathematics so jiangalie na kauli zako ahahaha...
Masters kwa huu mtizamo wako finyu? Sishangai lakini maana siku hizi mnafaulu kujiunga na kidato cha kwanza wakati hamjui kusoma wala kuandika!
 
Join Date; 10.01.2014.Posts; 40.Reply Power; 311.Likes received; 4. Likes given; 0.TOO YOUNG TO ARGUE CRITICALLY! Rudi shule kwanza, wenzako wako darasani, wewe unatuchungulia baba zako hapa JF!

mkuu hizo sio fact za kumwambia mtu kwamba hana uwezo wa kutoa arguement critically!

halafu ifahamike tu kwamba jf hatuna reply power.. bali tuna reputation power.

pili, jf haijawa designed kwa ajili ya wababa kama unavyodai, THIS IS THE HOME GREAT THINKERS.. NOT WABABA AS YOU ARGUE!

tatu, jukumu lako kama GT lilikuwa ni kumpa ushauri nasaha kama ana tatizo fulani, wala sio kumponda. hapo umebomoa badala ya kujenga.

asante.
 
Back
Top Bottom