Nataka kubadili fani

Nataka kubadili fani

nikiona mtu anasomea ualimu naona kama anajitenga na dunia wallah

Anyway sikushauri usome Postgraduate kama vipi anza degree upya.

hayo mambo ya PGD hakikisha mchongo uko mezani. otherwise utajutia sana gharama utakayokua umepoteza

Kama ruhusa ni ngumu, Soma hata open kwa ngazi ya diploma au degree kama ww ni form six leaver

Kama vipi pia Jipe miaka mi2 ujiunge na fani ya udereva. hakikisha ndani ya miaka hiyo una Cheti cha basic na Advance na leseni nzuri. hivi hata ndani ya mwaka na nusu unapata vyote

Kisha anza kuvizia udereva kwenye mashirika ya maana ya serikali eg. Tanesco na mengine mengi kuna maisha huko kuliko degree yako ya kushika chaki

Huu ushauri ni mgumu, ukitulia utanielewa nn nasema
 
hayo mambo ya PGD hakikisha umchongo uko mezani.

Kama ruhusa ni ngomu, Soma hata open kwa ngazi ya diploma au degree kama ww ni form six leaver
Mkuu unatoa ushauri bila kusoma hoja za mtoa mada? Yeye kasema ni employed teacher ,wewe unaleta stories za form six
 
Issue sio kuwa ticha issue ni kujikwamua. nimemshauri kama alimaliza form six asome dip au degree. sijui nn hujaelewa hapo

au kisa nimesema form 6 leaver unadhani ni waliomaliza mwaka jana

Soma vizuri ushauri wangu utaelewa
 
nikiona mtu anasomea ualimu naona kama anajitenga na dunia wallah

Anyway sikushauri usome Postgraduate kama vipi anza degree upya.

hayo mambo ya PGD hakikisha mchongo uko mezani. otherwise utajutia sana gharama utakayokua umepoteza

Kama ruhusa ni ngumu, Soma hata open kwa ngazi ya diploma au degree kama ww ni form six leaver

Kama vipi pia Jipe miaka mi2 ujiunge na fani ya udereva. hakikisha ndani ya miaka hiyo una Cheti cha basic na Advance na leseni nzuri. hivi hata ndani ya mwaka na nusu unapata vyote

Kisha anza kuvizia udereva kwenye mashirika ya maana ya serikali eg. Tanesco na mengine mengi kuna maisha huko kuliko degree yako ya kushika chaki

Huu ushauri ni mgumu, ukitulia utanielewa nn nasema
Ahsantee sana.....
 
Naomba ushauri, nimekua natafakari juu ya kubadili fani, ili nitoke kwenye ualimu na nisome fani nyingine. Kwa ngazi ya post graduate lengo nilitaka kuomba recategorization ndani ya utumishi wa umma, awali niliwaza kufanya postgraduate diploma in human resources. Kwa wataalamu naomba ushauri wenu tafadhali, Je course hiyo nawezaje? Au kama kuna course nyingine tafadhali mnijuze...
Ungetueleza masomo yako unayofundisha na mahali ulipo ili tushauriane vyema zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom