Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,781
- 18,689
Nataka nianzishe mradi kuzalisha na kukuza Kizazi kipya Tanzania, ni majaribio tu, yaani kizazi hiki kitakuwa hakihusiani kabisa na hiki kilichopo kwa sasa (yaani wewe na wenzanko) isipokuwa kibaolojia tuu!
Tutakuwa na sehemu yetu, tutajenga shule zetu na tutakuwa na maadili yetu wenyewe na lugha yetu itakuwa hii hii ya sasa lakini tutaibadilisha badala ya kuiita Kiswahili tutaiiita Kitanzania, sitaruhusu kabisa kuchanganyika na hiki kilichopo sasa kwa namna yoyote ile mpaka baada ya kutimiza miaka kuanzia 27, nategemea kuazima baadhi ya mambo kutoka apartheid Afrika Kusini kwenye kudhibiti hilo, na nitapitisha Sheria ya kumwadhibu yoyote yule atakayeonekana kwa namna moja ama nyingine akishishirikiana na Watu wa kizazi hiki cha sasa!
Kuhusu Dini kwa Waislamu na wakristo tutaaanzisha Kanisa la Kitanzania na kuvunja uhusiano na Roma na Waislamu dhehebu la Kitanzania na hakuna kwenda Maka!