Nataka kuandika Wosia

Asante Petro E. Mselewa,
Kibaha bado sijaenda mia kwa mia;
Najipanga panga kutafuta namna ya kupata sola mkuu.
Mkuu Mamndenyi,wosia ni haki yako na utaheshimiwa tu pale wewe utakapofariki (Mungu apishie mbali!).Kikubwa ni kuzingatia kitakiwacho na Sheria Ukishafikiri vyema na kuamua,tuwasiliane kwa ajili ya uandishi wa huo Wosia. Lakini,waweza pia kumpa zawadi mwanao hivyo utakavyo kumpa wakati wa uhai wako sasa.

Wasalimie Kibaha huko. Nami nitakwenda mwisho wa juma.
 
Last edited by a moderator:
Sawa dada mkubwa,
Nimekusia, itabidi nifuate ushauri wako, asante.

Jamani, kwani hao wa kiume si wanao?
Hata kama ni chumba kimoja, wagawanyishe wote, wewe ni mzazi wao wote wanne equally.

Hao kama wakipata mali za baba yao, basi ni heri yao. Sasa kwa kuwa mila za baba wa watoto wako zinamtenga msichana, na wewe umeamua kuwatenga wavulana?

Utatengeneza tabaka kati ya wanao bure, na undugu huharibiwa sana na mambo ya urithi, acha watoto wajue hizo mali ni zao wote. Anyetaka zaidi akatafute za kwake kwa elimu aliyoipata.
 
Mamndeny kwanza naomba unisamehe sana kuhusu hili nitakaloongea na usishangae nikatoka nje ya mada kidogo. Mie hayo ya wosia sitak kuyaongelea manake najua mwanasheria can do better kuliko mimi.

kama ni ndoa ya kikristo na hukupewa talaka na mume akaoa na kuzaa na mke mwingine am telling you it wont take any longer from now bila huyu baba kurudi kwako. Nakuambia hivi atarudi ama ni mzima ama ni mgonjwa lkn kwa experience yangu nimeona wengi wakirudi wakiwa wagonjwa.

najiskia kuumia sana manake atakaporudi akiwa mgonjwa kazi itakuwa yako, I wish nikushauri eti uka file legal divorce ili kukwepa msalaba lkn sasa ukifanya hivyo Mungu hataki uwiiiii ebu naomba usomapo hapa usichukulie maanani.

umenikumbusha mbali sanaaaa nimelia kwa uzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Huyo akiolewa hizo mali zote za mwanaume
unadhani kina kaka watakumbukwa tena hapo

Mkuu asipoolewa je - si atakuwa wa dhiki na chuki kwa kaka zake waliochukua chote. hata kama ameolewa je siku akiachika - kwa aina zote hizi 2 ataadhirika. watoto wa kike nao wana haki sawa na wa kiume. kwanza in general watoto wa kike hujali sana wazazi.

hapa ni kuwagawia wote. watoto wa kiume kule kwa baba yao inategemea kama mali iliyopo ilichumwa wakati mama yao yuko kule. wanaweza ingia kwenye wrangle na mama aliyepo aki team na watoto wake. vinginevyo mamndenyi aingie kwenye kutafuta haki yake mapema - huenda hapendi vurugu kaamua kujitegemea.

at the end of the day ni kukaa na wanasheria wakayaweka haya sawa - sio marahisi kiasi hiki.
 
Mamndeny kwanza naomba unisamehe sana kuhusu hili nitakaloongea na usishangae nikatoka nje ya mada kidogo. Mie hayo ya wosia sitak kuyaongelea manake najua mwanasheria can do better kuliko mimi.

kama ni ndoa ya kikristo na hukupewa talaka na mume akaoa na kuzaa na mke mwingine am telling you it wont take any longer from now bila huyu baba kurudi kwako. Nakuambia hivi atarudi ama ni mzima ama ni mgonjwa lkn kwa experience yangu nimeona wengi wakirudi wakiwa wagonjwa.

najiskia kuumia sana manake atakaporudi akiwa mgonjwa kazi itakuwa yako, I wish nikushauri eti uka file legal divorce ili kukwepa msalaba lkn sasa ukifanya hivyo Mungu hataki uwiiiii ebu naomba usomapo hapa usichukulie maanani.

umenikumbusha mbali sanaaaa nimelia kwa uzi wako.

Mwalimu asante. Hili la ndoa ni gumu kuliko unavyowaza. Na mie ndo nimewaza niwagawie hawa madogo chao hata nikiamua chochote nisiingilie uhuru wao.

Sitaki kusema saaana as niko salama hadi leo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asipoolewa je - si atakuwa wa dhiki na chuki kwa kaka zake waliochukua chote. hata kama ameolewa je siku akiachika - kwa aina zote hizi 2 ataadhirika. watoto wa kike nao wana haki sawa na wa kiume. kwanza in general watoto wa kike hujali sana wazazi.

hapa ni kuwagawia wote. watoto wa kiume kule kwa baba yao inategemea kama mali iliyopo ilichumwa wakati mama yao yuko kule. wanaweza ingia kwenye wrangle na mama aliyepo aki team na watoto wake. vinginevyo mamndenyi aingie kwenye kutafuta haki yake mapema - huenda hapendi vurugu kaamua kujitegemea.

at the end of the day ni kukaa na wanasheria wakayaweka haya sawa - sio marahisi kiasi hiki.

Asante mkuu.
Kweli kuolewa ni majaliwa ya Mola.
Ila kutokana na ushauri wa wana jamii wengi ni lazima kuwagawia wote.
Zaidi sana ni kufanya edition kila baada ya muda fulani ili kuongeza au kutoa kipya.
 
Wosia ni mambo ya kizamani. Vitu vyote Andika jina la binti, kuanzia nyumba, viwanja, magari , furniture n.k . Waswahili hawajui kuenzi wosia. Ila jiridhishe kama huyo binti ni kichwa au Mali zitaishia kwa bwana badala ya makaka.
 
Una akili sana wewe,
Hujambo?
Wosia ni mambo ya kizamani. Vitu vyote Andika jina la binti, kuanzia nyumba, viwanja, magari , furniture n.k . Waswahili hawajui kuenzi wosia. Ila jiridhishe kama huyo binti ni kichwa au Mali zitaishia kwa bwana badala ya makaka.
 
1. Ameoa na ana watoto.
2. Pengine watoto wanajua kama wanapewa chochote, kwani sasa ni wakubwa.
3. Watoto niko nao.
4. Hii ya kugawanya mali kwa watoto wa kiume niliwahi kushuhudia
5. Sijui kama amewahi andika wosia.

Aliyekuuliza hayo ameuliza vya maana sana
Iko hv, usimwamin mtu ambaye tayar mlisha tofautiana tena katika maswala ya mali et watoto wake watapewa mali na baba yao, kumbuka wosia una nguvu kuliko mila ikiwa huo wosia ni sahihi mbele ya sheria. Hvo kama mumeo (kwasababu hamjapeana talaka) atakua ameandika wosia kwamba mali wapewe watoto haram(kwasabab sio wa ndoa) basi ndio hao watapata na watoto wako watakosa.
Kwahyo ukiamua kufanya jambo hebu fanya kwa uhakika sio kudhan tu kuwa flan atawajibka.
Kwasababu hyo basi, we wagawie wote hzo mali ktk wosia na wosia sio mambo ya kizaman mkuu ila sema watanzania hatujui umuhmu wake. Ziko sabab nyng za msing ktk kuwepo kwa wosia miongon mwa hzo ni
1. Kuondoa utata wa nani hasa anao uhalal wa kupata kipi, iko hvi ukiandika wosia kua ki2 flan apatiwe flan hii inarahisisha kumjua mrith wa mali hasa bila mgogoro hata kama ni mahakaman itakua rahis kumaliza mgogoro. Lakn ukiandika mali zako kwa majina ya mmoja wa watoto wako bila kutolea maelezo haitatosha kumuhakikishia umiliki wa hcho kitu ukilingansha na wosia kwasababu wosia utakuwa na mashahid
2.wosia unakubalika sana na una nguvu kubwa hata ya kutengua maamuz ulo yafanya kabla ya kuandika wosia huo, mfano ukiandika kiwanja kwa jina la A alafu baada ya miaka kadhaa ukaandika wosia kiwanja hcho apewe D, kwa kuwa ni mali yako halali basi wosia ndio utachukua uzito mkubwa kuliko uamuz wa kwanza.
Lakin yote hayo yatawezekana ikiwa wosia huo utakua halali kisheria kwamba
1. Umeandika ukiwa na akili timamu
2. Kwamba hauja lazimishwa na mtu awaye yote kuuandika
3. Wakati wa kuuandka mashahid wote halal walikuwepo.
Na mengne meng ambayo sijayaandka hpo.
Mi nakushaur kwanza wazo la kuandka wosia n zuri hvo usiache kuandika wosia
Lakin pili wosia huo wagawie wote tu wanao ila unaweza kumpa huyo wa kike zaidi hzo mali
 
Asante nazidi kupata mawazo mazuri juu ya kuandaa hicho kitu,
kwa mfano, nyumba niliyojenga nikiwa kwenye ndoa na ambayo kwa
hii miaka mingi anaishi mwanaume na watoto wake aliozaa na wamama
wengine, je naweza nayo kuiandika kwenye wosia wangu,
ila iwe ni kwa watoto wangu tu?

Bila shaka kabisa unaweza kuandika juu yao kwasababu
1. Ni watoto wa ndoa kabisa hvo wana haki ya kupata urith wa wazaz wao
2. Ndoa bado ni halali kisheria kwasababu mahakama haijatoa hati ya kutenganisha ndoa hvo watoto ambao wamezaliwa nje ya ndoa yenu kisheria hawana haki ya kumilik hiyo nyumba
3. Nyumba yenyewe kama ulivosema mlijenga mkiwa wote hvo ni mali ya ndoa(matrimonial property) kwahyo n wanandoa tu ndio inawahusu na sio walio nje ya hapo
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom