Curvyminx
Senior Member
- Nov 29, 2016
- 179
- 221
Habari za leo Wakuu!
Kwanza tujipepongeze kwa kuuvuka January! Loh! Mwezi mrefu huu, ila binafsi nahisi 2016 ilikuwa ngumu mpaka naona January ilikuwa continuation tu! Sasa ndio tumeingia 2017! haha!
Haya, kama swali langu hapo, ninauliza kwa wale wenye experience/maarifa ya kuandaa concert, ni kuna cost gani involved? pili nianzie wapi? halmashauri-kuomba vibali? artists wa kuperform? stage ya kukodisha? kama kuna mtu anajua bei za hizi vitu na procedure ya kuandaa concert ntashukuru sana.