Nataka kuagiza gari kwa njia ya mtandao

Niliwatumia Tradecarview mwezi jana na gari yangu ilifika salama salimini mkuu, I would recommend them.....
 
Almost 3 guys have talked of three different dealers. Sasa ni ngumu hapo kujua which is which unless you get one who has used the three of them, or at least two different ones.
 
Wengi wa maexporter ni waaminifu ila kuna badhi cku hz wana tabia ya kuweka picha za magari while magari hayo hayapo ktk stock zao. so unapo2ma pesa wao ndo wanakutafutia gari yenye same specs na ile uloiona. ushauri wangu ni bora um2mie m2 ambaye ana uzoefu na kazi hy hata ukima usd 100 mpaka 200 c mbaya as long as unapata ki2 cha uhakika. wapo maimporter wengi 2 humu ndani mie ni m1 wapo.
 
Kibongoto usiwe na wasiwasi nimezifanyia uchunguzi karibu zote hizo 3 ni za kweli sasa kazi kwako utachaguwa wewe ipi kati ya hizo 3 utakayotumia? Ondosha wasiwasi .
 
tradecarview wanadeal nakutagaza tu magari lakini wauzaji nitofauti, ila wanamagari mengi na bei poa but if you are not risk taker just go to japanesevehicle.com hawa jamaa niwaamifu sana (as their name implies 'trust') but a bit expensive.
 
kama unamjua mtu UK ni vizuri unge angalia 'auto traders' na bei zake hila unahitaji mtu wa kwenda kukunilia na kukutumia gari lako bongo, ushauri ukishaliona ni bora uwasiliane na 'swift' cargo ni ya mmbongo na si tapeli jamaa ila ana katamaa fulani.

Lakini atakuletea mpaka nyumbani kwa meli ifuatayo huo ni uhakika sijui ni-charge gani atakuletea za kwenda kulifuata gari na ni umbali gani kutoka ofisini kwao na bei zake za usafirishaji.

Hila the advantage of buying from 'auto traders' ni kwamba mtu anaweza kukutaarifu kwamba gari liko vipi before ajalilipia.

ps. be careful you need to send money to someone you trust, huyo jamaa ana reputation awezi kukimbia na hela hila ana tamaa sasa sijui charge zake.
 
Hi, Juma.
I have sen your advirtisement kua, unataka kuagiza gari toka Japan
Usijali ninaweza kukusaidia, kwani mimi pia ninafanya hivyo kutoka kuku Japan.
this is my e-mail. rnungu@gmail.com

Thanks. Nungu
 
Wakuu mimi natafuta mtu wa graphics na watu kutafuta matangazo katika gazeti jipya ambalo nataka kulianzisha huko bongo.Mwenye kuhitaji nafasi hii awasiliane nami kupitia email hii terrell_bibbs@yahoo.com
 
wasiliana na mimi nitakuagizia gari zuri mpk ufurahi kwani ndio kazi yangu ya muda mrefu- nimeshagizia watu kama 80 hivi na zote bad zipo ordes ,achana na hizo web.
 
Habari kwa ujumla, Bwana yesu asiwe!! kwa wale ndugu zangu waislaam Asalama aleykhum!!!

Napenda kuchukua fruksa hii kuwatangazia majina ya wa dila wanaoweza kukuletea gari lako kwani nakutajia hapa chini na wako faster mimi nimeshaagiza sana kwa hao au kama unataka tuwasiliane nitakuagizia gari unalolitaka. ONYO uimtumie mtu Individual aliyeko Japan atakuliza wewe tumia Makampuni na wale wanaotanga Makampuni kama www.tradecarview.com sawa ok.
Makampuni hayo ni
www.tradecarview.com
www.rao-international.com
www.beforward.com
Pamoja na hao uliotajiwa mwanzo wote mushwaaaaaaaaaano

more information call. +249907863507. masqtz@yahoo.com
 
Wengi wa maexporter ni waaminifu ila kuna badhi cku hz wana tabia ya kuweka picha za magari while magari hayo hayapo ktk stock zao. so unapo2ma pesa wao ndo wanakutafutia gari yenye same specs na ile uloiona. ushauri wangu ni bora um2mie m2 ambaye ana uzoefu na kazi hy hata ukima usd 100 mpaka 200 c mbaya as long as unapata ki2 cha uhakika. wapo maimporter wengi 2 humu ndani mie ni m1 wapo.

Mkuu dullymo,

Kuna hawa jamaa wa Japantradecar.com nao walikuwa wazuri sana na nimewahi kununua kwao magari mawili. Hivi ninavyoandika nina mgogoro nao kwani wamenifanyia huo mchezo uliouleza hapo juu. Kuna gari wameweka bei ya chini. Niliwaomba wanitumie invoice. waliponiletea invoice nikawatumia hela. Waliponiandikia kuconfirm kupokea hela wakaniambia kwamba bahati mbaya kuna mteja mwingine pesa zake zilitangulia kufika kwa hiyo hilo gari wamempa yeye. Nilikuwa na wasiwasi na maneno yao nikamwomba rafiki yangu aombe invoice ya the same car. wakamletea invoice. Mpaka leo hilo gari lipo kwenye list ya magari yanayouzwa. Kwa maana nyingine, hilo gari wanalitumia kukamatia watu na ukiishapeleka hela wanakwambia limeuzwa ili wakutafutie lingine. Nimewaambia warudishe hela zangu haraka sana.

Hawa jamaa ingawaje huko nyuma walikuwa wazuri, kwa sasa wamebadirika na hiyo sales strategy yao ni mbaya. Nisingemshauri mtu yeyote kujaribu kufanya biashara na hawa jamaa. Wamekuwa wahuni.

Tiba
 
kwa kweli sasa hv hali ya biashara kwa ku2mia mitandao imekuwa na wizi mkubwa. mfano katika hy tradecarview kuna blacklist ya makampuni ambayo yamefungiwa kwa kuchukua pesa kisha hawatumi magari. na wengi wa walioibiwa na watanzania. ila cha kushangaza makampuni hayo hayo yamebadili majina kisha yakasajiliwa tena. mfn kampuni ya prosper huyu jamaa mkenya ila yupo japan wanaongoza sana kwa kulalamikiwa kwa vitendo vya kuwauzia wa2 magari tofauti na wanayowaonyesha kweny picha. we have 2 be carefu guys
 
mkuu tembelea www.royal-trading.jp nao wako safi 28 days toka nilipe hela range rover inakata mitaa dar es salaam

Mkuu Kigogo,

nimeangalia hiyo website ya hao jamaa (Royal-trading.jp) kusema ukweli hata kama hawana ubabaishaji kwenye biashara yao, they are damn expensive (bei zao ziko juu sana ukilinganisha na mitandao mingine). Inabidi ujifunge kibwebwe kweli kweli kama unataka kununua kutoka kwao.

Tiba
 
Nataka kuagiza gari kwa njia ya mtandao je mtandao gani ni salama?

Je kuna mtu ameshawahii kuagiza kupitia mitandao hii,naomba msaada wenu

Je www.tradecarview.com na www.japantradecar.com hii vipi?

Nshukuru kwa msaada wenu

Mkuu kuna watu nawafahamu wamelizwa pesa kwenye hizi deal za mitandaoni, hawa jamaa waliitumia hadi foreign affairs wameambulia patupu. Pia nina brother wangu aliagiza gari kupitia agent mmoja hapo Dar, gari ikafika agent akaingia mitini, story ni kuwa huyo jamaa anachukua pesa za watu anaagiza magari kisha anaingia mitini, looks like anatumia pesa za watu kama mtaji. ukibahatika unarudishiwa pesa yako bila interest. Brother wangu alirudishiwa pesa akanunua gari aina ile ile kwa agent mmoja mhindi mitaa ya Upanga na bei haikuwa tofauti sana.
 
Nakushauri agiza www.vwest.jp hawa ni wazuri na mazungumzo yapo. Mitandao mingine FOB zake ni expensive kidogo, kama japanesevehicles na carjunction they are too expensive, nilishawahi kufanya nao biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom