Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,915
- 14,638
1. Network stability. Kwa kuwa wanatumia transmission ya fiber cable kwa asilimia kubwa ya network yao basi wana kuwa hawaathiriki sana na hali ya hewa.Kwa nin halotel mkuu....!
2. Wana capacity kubwa ya transmission na wateja ni wachache so network yao ina speed.
3. Kwa sasa wamesambaa sehemu kubwa ya nchi.