Nataka kuachana na huduma za AIRTEL

Nataka kuachana na huduma za AIRTEL

Airtel mimi niliitupa kabisa chooni kwa hasira mara ya mwisho sababu ni mbili tu ;kuna wakati spidi ya kobe mpk inakera kuna siku Mb 600 kuweka tu sijakwenda popote text ilaha nimetumia 75% kwa notifications za Youtube na wasap nikadhamiria kutorudi tena .
 
Airtel wanashida sana katika masuala ya Network Yao Kuna maeneo ni mjini kabisa mfano Kariakoo mitaa Msimbazi network ni ya shida sana

Halafu huwa unapounga mabando yanaisha haraka sana

Nimejaribu kudhibiti matumizi ya data na kudhibiti app zisi access internet natumia Twitter tu

Nina miaka 10 natumia AIRTEL nadhani ni wakati wakuachana nayo kwa Sasa

Nisaidieni Mtandao ambao Data zinaenda vizuri na pia Internet yake ya uhakika
Baki huko huko huku tulipo kunatisha
 
Voda na Tigo speed ipo fresh , mb zinaisha kihalali haswa vida ukiweka kuanzia 2Gb unaenjoy ila baadhi ya watu wanalamikia voda kuiba vichenji vinavyobaki .

Halotel speed wako njema hata bei za Vifurushi ila kwangu mimi ninabahati mbaya nao kwenye matumizi ya bando la intaneti yaani wanakomba chap wkt mwingine bado hakijaisha kamili.
 
Voda ndo wezi kabisa jamani?
Kila siku nikiacha salio nakuta wamekata Mia mbili ata sijui nini.
kuna mtu huku alijiunga kifurushi cha wiki 3000 ikabaki Mia sita. Kuzungukazunguka wakadai mb zimeisha kucheki mb zipo na Mia sita ishaenda na wahuni wa voda.
Mimi na voda nishakataa kitambo.
 
Chakushangaza mpaka pale Morocco ambapo ni makao makuu yao network yao inasumbua 😂
 
Upo wapi kwa sasa tupe manufaa ya huko hasa data
Mkuu. Mambo yote Vodacom halafu uwe na simu ya kueleweka.
Sio mtu unatumia Infinix halafu mtandao ni halotel. Kila ukijaza bando lazima u restart simu.
 
Airtel wanashida sana katika masuala ya Network Yao Kuna maeneo ni mjini kabisa mfano Kariakoo mitaa Msimbazi network ni ya shida sana

Mkuu kariakoo karibia mitandao yote tu haipo vizuri...na sio karibia tu,, ni mitandao yote haipo vizuri.

Hivyo basi The grass ain't greener on the other side..

Leave at your own Risk
 
Mkuu. Mambo yote Vodacom halafu uwe na simu ya kueleweka.
Sio mtu unatumia Infinix halafu mtandao ni halotel. Kila ukijaza bando lazima u restart simu.
S.Note8 inahimili? Bando la mwezi la 20k napata GB ngapi? Nazinatoboa mwezi? Matumizi yangu ni.social media ukitoa IG na YouTube
 
Kiukweli ukweli makampuni ya simu hamna lenye nafuu wala afadhali wote ni Mama na Baba mmoja.

Ikibidi baki tu huko uliko kuzowea kuliko kufuata mauza uza mapya huku tuliko.
Komenti yako imekaa kichawi sana!
 
Ukishatumiwa ujumbe wa umetumia 75% ya data ukizima na kuwasha data muda huo unaambiwa kifurushi kimeisha, ukiulizia salio unakuta si kweli
Wanaudhi sana
Wanakera sana Na Hizo data asilimia 75
 
Airtel wanashida sana katika masuala ya Network Yao Kuna maeneo ni mjini kabisa mfano Kariakoo mitaa Msimbazi network ni ya shida sana

Halafu huwa unapounga mabando yanaisha haraka sana

Nimejaribu kudhibiti matumizi ya data na kudhibiti app zisi access internet natumia Twitter tu

Nina miaka 10 natumia AIRTEL nadhani ni wakati wakuachana nayo kwa Sasa

Nisaidieni Mtandao ambao Data zinaenda vizuri na pia Internet yake ya uhakika
Karibu vodacom Tanzania
 
Tutafute hela wazeee...

Hivi unadhani wenye internet za fiber wana vilio hivi?
 
Back
Top Bottom