Nataka kuachana na huduma za AIRTEL

Nataka kuachana na huduma za AIRTEL

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Airtel wanashida sana katika masuala ya Network Yao Kuna maeneo ni mjini kabisa mfano Kariakoo mitaa Msimbazi network ni ya shida sana

Halafu huwa unapounga mabando yanaisha haraka sana

Nimejaribu kudhibiti matumizi ya data na kudhibiti app zisi access internet natumia Twitter tu

Nina miaka 10 natumia AIRTEL nadhani ni wakati wakuachana nayo kwa Sasa

Nisaidieni Mtandao ambao Data zinaenda vizuri na pia Internet yake ya uhakika
 
Ukishatumiwa ujumbe wa umetumia 75% ya data ukizima na kuwasha data muda huo unaambiwa kifurushi kimeisha, ukiulizia salio unakuta si kweli
Wanaudhi sana
 
Nilishawahi kuyalalamikia hayo nikatupa na laini
 
Airtel ndio mtandao wangu ina wameanza wizi yaani mwezi uluopita GB15 ilikuwa 20k mwezi huu 20kGB12
 
Ukishatumiwa ujumbe wa umetumia 75% ya data ukizima na kuwasha data muda huo unaambiwa kifurushi kimeisha, ukiulizia salio unakuta si kweli
Wanaudhi sana
Hili ndio tatizo lao kubwa najiuliza kwanini wanatufanyia hivi.?
Yaani saivi naishi bila kuzima data.
 
Airtel wanashida sana katika masuala ya Network Yao Kuna maeneo ni mjini kabisa mfano Kariakoo mitaa Msimbazi network ni ya shida sana

Halafu huwa unapounga mabando yanaisha haraka sana

Nimejaribu kudhibiti matumizi ya data na kudhibiti app zisi access internet natumia Twitter tu

Nina miaka 10 natumia AIRTEL nadhani ni wakati wakuachana nayo kwa Sasa

Nisaidieni Mtandao ambao Data zinaenda vizuri na pia Internet yake ya uhakika
Tulia ulipo mkuu..😂
 
Kiukweli ukweli makampuni ya simu hamna lenye nafuu wala afadhali wote ni Mama na Baba mmoja.

Ikibidi baki tu huko uliko kuzowea kuliko kufuata mauza uza mapya huku tuliko.
 
Back
Top Bottom