Nataka kuacha kazi

Kuacha kazi sio dhambi lakini hakikisha kwanza umejipanga vya kutosha ili kukabiliana na changamoto za kimaisha
 
Una ka hoja kwa mabali japo povu limezidi sana mkuu.... ungeweza mfikishia ujumbe bila povu lote hilo....
 
Mimi niliamua kuacha kazi mwaka 2015 kwa sababu ya katibu tawala mkoa uliokosa bahari. .. aliye take kusudiwa kama Mungu wala sijutii uamuzi wangu
 
mi nafikiri fanya uchunguzi hali mitaani ilivyo alafu ndio uchukue maamuzi
 
Usiache kazi bali komaa nao tu mkuu wakija na matamko nawe wape tamko pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…