Nataka kuacha kazi

[HASHTAG]#leah[/HASHTAG] wewe ndo yule mkuu wa idara Kinondoni alokutukana Makonda mabwe pande nn
 
Ni kujikomboa kifkra na kuwa huru na mambo yatakayokuingizia hela
 
Yaani kiukweli hata mimi ningekuwa mmoja ya watumishi wa serikali awamu hii ningeachia ngazi.

Nisingeweza kuona haya yanayotokea nikiwa miongoni mwa viongozi wanaosababisha yatokee.
 
Acha kazi uone kazi kupata kazi.

Fikiri mara ya pili.
 
Ushawai kuona mtu anaomba ushauri kwenda kuua mtu? Ushauri wa watu hauwezi kukusaidia hayo ni maamuzi magumu amua mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…