Nataka kuacha kazi, ushauri unahitajika

Nataka kuacha kazi, ushauri unahitajika

Mi pia hili suala linaniumiza kichwa but mi siendi kuajiliwa nataka nichukue mkopo afu ndio nisepe...but sijui mkopo utalipwa kwa njia gani....nami ntawajibishwa vipi na bank husika?
 
Back
Top Bottom