Nataka ku bypass survey ya kudownload | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka ku bypass survey ya kudownload

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Machozi ya Simba, Sep 11, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  tumia vpn yoyote ya marekani fanya survey fasta download
   
 3. Abloodi

  Abloodi Senior Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  plz chief nakuomba ututolee maelezo kidogo jinsi ya kubypass pamoja na hyo vpn
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Mi si recomend kudownload huko maana wengi ni wezi na wanafanya hivo makusudi ila kama unataka kudownload hizi ndo step.

  1. Unatakiwa ujifanye kama raia wa marekani au nchi za ulaya maana nchi zetu zina survey chache au usipate kabisa so hapa utatakiwa uwe na vpn search vpn hizi google

  -security kiss
  -tsunami vpn
  -pd-proxy(premium)
  -cproxy

  Then utafata maelekezo ikishakua installed kila kitu utaconect na server yoyote ya marekani

  2. Eka link yako yenye survey then fanya survey rahisi itachukua kama dk 5 then ur done.

  3.download file lako
   
 5. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  dah chief penye ishu ni kwenye namba za simu mh hebu nipe sampuli
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Kama marekani anza na +1
   
 7. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  ka vp toa namba kamili unayotumiaga
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  -1-(202) 756-6468
  -1-800-864-6027
  -1-(317) 299 5578

  Kama haihitaji international code no (survey za mle mle ndani ya usa) ujue moja hueki kama vile ambavo tz hatueki +255 kwa simu za ndani
   
 9. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  dah ngoja nteysti
   
 10. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  dah chief hii ni kazi sasa maana wanakutumia code kwenye ecact number
   
Loading...