Habari wakuu.
TPDC wametoa post za kazi, deadline 27 june. Mimi kufika hiyo tarehe nitakua nimeshamaliza chuo (Geologist) so nimependa ni apply nijaribu baht yangu. Ila nina maswali naomba mnisaidie:
-Watakubali provision results yenye matokeo ya semester 5?
-Kuna watu wanasema eti barua za application lazima zitumwe kwa EMS, je ni kweli? Wanadai kwa posta ya kawaida zinaweza kukaa ata mwezi mzima njiani.
-Ni mgeni ktk ku apply kazi, hivi unaruhusiwa kuomba zaidi ya kazi moja iwapo wametoa kazi tofauti tofauti? Yaani niandike barua ya kuomba kazi A, Kazi B au hadi Z?
Nitashukuru nikipata Majibu.
Wadau JF,
Mimi nataka kuomba pia moja kati ya hizo nafasi,,naomba mwenye kufahamu scale ya TPDC PS 5 ni Tshs ngapi? Asanteni
mishahara yao vipi?
Umeongea ukweli mtupu ,Wana JF kwanini mnamjibu huyo bwana kihuni zaidi? Hivi uliwahi kuona wapi serikali inatangaza kazi kisha eti unaonba kwa kutumia statement of results. Kwanza hayo majibu hata ayajathibitishwa na vikao halali vinavyo govern chuo. Kijana maliza shule pata vyeti utaomba next time hata kama sio TPDC
Unauliza mchanga kwenye keki ya taifa? TPDC hata kama unalipwa laki moja nenda mzee...chezea mawese wewe!!! Hot cakes ukiacha BOT ni hao TPDC bro!!