Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Jamani, mwenzenu naanza maisha upya, nahama toka ushongo kuja Dar Es Salaam
Ninatafuta vitu vingi sana, nimekosa jukwaa ya kuweka thread yangu. Vitu vyenewe:
1. Natafuta kazi. Nina uzowefu mkubwa wa kazi za ndani, pia social works
Mshahara uniruhusu kuishi maisha ya kawaida (Nyumba, gari, vocha na mengine)
2. Natafuta mpenzi. Awe kijana, msomi, mwislam, awe open minded, awe na kazi
Pato na umri sio muhimu sana, muhimu awe muelewa sanaaaaa, na aishughulishe
3. Natafuta nyumba dar es salaam. iwe accessible kwa gari, maji na umeme permanent
Vyumba viwili, choo na jiko ndani, parking ndani ya pango. Isizidi tsh laki nne hivi
4. Natafuta Sim ya mkononi ya bei poa, hata kama used. Iwe smartphone nzuri tu
5. Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo. Awe wa kike au wa kiume sawa tu
Ila ikiwa ni wa kiume awe shoga ili baadae asije akanitongoza.
Asanteni kwa michango