KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Msaada wenu tafadhali nimeutafuta wimbo huu bila ya mafanikio sehemu ya wimbo huo ina maneno yasemayo"HATA DINI UMEBADILI, SUPU UMETIA NAZI LADHA YA SUPU NI CHUMVI NDIMU NA PULIPILI TU" Ameimba wimbo huo akiwa na bendi ya Sikinde.