Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt Ayoub Rioba & Watendaji Wenzake Wamtembelea Mwanamuziki Mzee Hassan Rehani Bitchuka Nyumbani Kwake Sinza

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Mzee Bitchuka aliyewahi kuimbia bendi mbalimbali kama Msondo na Sikinde anaishi maeneo ya Sinza Jijini Dar es salaam anasumbuliwa na Maradhi ya Macho, Sukari na Shinikizo la damu.

Timu ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ikiongozwa na Dkt Rioba ilimtembelea Mkongwe huyo ili kumjulia hali pamoja na kujua jinsi gani atasaidiwa kupata matibabu stahiki

Mwanamuziki huyo mkongwe amewika kwa nyimbo nyingi ikiwemo wimbo wa Huruma Kwa Wagonjwa.

Sehemu ya wimbo huo inasema " Ndugu kuweka vikao na kujadili gharama za Matibabu" Sio Kuwatelekeza bila msaada wowote "Wanapaswa kutetea maisha yao wanapokuwa wanaumwa" Nani Kauona mwaka, Tutamaliza mwaka, ni majaliwa yake Mungu eeeh kuona mwaka"

TBC
 
Kwa hiyo nianze kuangalia na kuisikiliza TBC ! Hapana na asante, ila pole zangu zimfikie mgonjwa, mbona sisi tunakwenda Muhimbili kimyakimya na wenyekupona wanapona!
 
Asante nyote, naamini nyuzi Zangu mbili kumuhusu huyu gwiji zimepelekea wadau mbali mbali kujitokeza ikiwemo shirika la utangazaji tbc.
 
Back
Top Bottom