Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,171
- 4,398
Wana JF
naomba kupata msaada wa links au websites ambazo zinaweza kunisaidia kupata mitihani mbalimbali ya primary english medium kwa masomo mbalimbali kuanzia std one up to seven, pia nahitaji application ambayo nitaweza kuitumia ili kuandaa mitihani ifanyike online kwa kupitia app hiyo.
Ahsanteni