Natafuta logo designer

Natafuta logo designer

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,641
Poleni na majukumu wakuu.
matumaini yangu mungu yi pamoja nasi.

Natafuta logo designer atakayeweza kudesign logo yangu.

Kuhusu logo:
Jina ni Nyarugusu.
Size: instagram profile, twitter4, facebook na website size.

Logo hii naitumia kwenye tovuti ya kuuza biashara mtandaoni.

Logo hii nahitaji design ya jina tu na sio kuongeza picha.

Logo hii unaruhususiwa kutengezeneza kwa idea yako.

Logo hii inahitaji iwe na jua ndani ya maandishi, mishele ikiwa kama inachomoza kuazia kulia mpaka mwisho kushoto na hiyo mishale iwe na rangi tofauti kama blue, green red na gold.

NB: logo yangu nahitaji iwe ya maandishi na ndani ya maandishi hayo kuwe na jua ambalo linachomoza inatoa mishale kuanzia kulia kwenda kushoto na ile mishele inayochomoza iwe na rangi tofauti, blue, green, red na gold.

*Designer unatakiwa utengeneze kwanza sample na bei yako.
Au unaweza kunionyeesha sample ya kaz zako na bei yako

Namba ya whatsap ni

Asante
 
Nipo mbali na pc but nime create moja kw kutumia simu nipe namb nikutumie tsapp
 
Habari. Mimi ni logo designer. Naomba nikuonyeshe baadhi ya kazi zangu mkuu
tapatalk_1579893524217.jpeg
tapatalk_1577577233226.jpeg
tapatalk_1579893503294.jpeg
DUKALOTE%20LOGO.jpeg
MTOPA%20ENTERPRISE%20CO%20LOGO.jpeg
AUTOROVER%20LOGO.jpeg
PAN%20AFRICAN%20AUDITORS%20LOGO.jpeg
 
Uko marekani hamna ma dizaina? Au bei uko juu?
si lazima kila kitu ufanye wewe naweza kutoa hata fursa kwa wengine kudesign logo hata mwenyewe naweza
kufanya hvyo ila tu natoa fursa kwa wengine
 
Kule labda utumie freelancers fiverr, freelancer.com, upwork.

Sidhani kama utapita barabarani au nyumba kwa nyumba kutafuta designer.
hata website zipo nyingi unaweza kudesing mwenyewe sema tu nikutoa fursa kwa watu wengine mkuu
 
Back
Top Bottom