Natafuta watengenezaji wa Window Grills

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau, Mchakato wa ujenzi unaendelea.
Kwa watu wenye experience na ujenzi hapa Dar, ni fundi gani wazuri kwa ajili ya window grills?
Naangalia zaidi professionalism na bei iwe reasonable.

Nahitaji grills kwa ajili ya madirisha. Naona mafundi wengi barabarani, ila sina uzoefu na hii field. Any recommendation would be appreciated. Site ipo Tangi Bovu, Mbezi Beach, Dar es salaam.
Ahsante,
 
Tucheki kwa6 0719 744806 bei ni reasonable tunafanya metal fabrication na aluminium profile
 
Wapi naweza kupata grille za kukunja kama zile zilizopo kwenye maduka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…