Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

mimi apa mkuu ni fundi mzuri sana wa sofa tena ya aina yoyote na nina ofice (show room) mtoni mtongani, pugu secondary na mbagara 7 7 nakutengenezea kw bei nafuu kabisa tena ukitaka ata apo apo nyumban kwako na ata ukitaka za kununua zipo ofisin kwng ni bei nafuu n ua natoa warantii ya mwaka na nusu na utaletewa popote ulipo
contact; 0784133449/ 0621038229
 
au km unataka w tabata kna ndug yangu nae ana ofice y sofa apo tabata shule kalbu kabsa na dawasco pia na yeye n fund mzur
 
ni huyo elia nini Mkuu?
sa mi cjui uyo alomsema elia alimmaanisha yupi but mi naitwa elias kipindi cha nyuma nilikua apo tabata shule kalibu na dawasco natengeneza na kuuza sofa but ckuizi niko kweny ofice yangu mwenyewe ya sofa apa mtoni mtongani apo kwenye iyo ofice ya tabata yupo ndugu yang
 
Sawa naomba namba yako
 
1475706957060.jpg
 
Back
Top Bottom