Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

ayo ni baadhi ya masofa ambayo unaweza ukayapata ofisini kwangu mtoni, mbagara 7 7 na keko na ata km una aina yako yoyote mi natengeneza ilimladi uwe na pcha yake tu
 
ayo ni baadhi ya masofa ambayo unaweza ukayapata ofisini kwangu mtoni, mbagara 7 7 na keko na ata km una aina yako yoyote mi natengeneza ilimladi uwe na pcha yake tu

Tupe picha za yale madogo madogo hasa kwa vijana ya watu wawili au watu watatu
 
aya mawili ya watu wa3 watatu na ili jengne la mtu m1
 
Attachments

  • 1475725736104.jpg
    1475725736104.jpg
    46.4 KB · Views: 190
kwa kifupi tunatengeneza na kuuza kila size iwe lakukaa mtu mmoja, watu wawili au ata watatu inategemea na maitaji yako tu
 
Back
Top Bottom