Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa

kichakorojack

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
78
Reaction score
12
Hello wandugu.. Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe pls nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje.

Ahsanteni.
 
kiongozi, kuna kampuni nzuri wengi wamejitangaza Istagram na mapicha ya kazi zao. Moja hipo Keko na nyingine Tangibovu
 
Nashukuru sana mkuu
 
Ila kuna wengine hawajitangazi hawapo instagram mkuu
Nenda keko utawapata wengi sana......au Nipo kinondoni ulizia Kuna jamaa anaitwa wazawa fundi mkali tu.....kwengine jirani leaders club Wapo.....Hyo baadhi tu ya maeneoo wapo
 
Back
Top Bottom