Natafuta wanunuzi wa ufuta kwa bei nzuri

Natafuta wanunuzi wa ufuta kwa bei nzuri

Constantine1

Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
31
Reaction score
7
Ninauza ufuta yoyote anaejua wanunuzi wachina au wengine wowote wanaotoa bei nzuri anijulishe maramoja. 0754524206
 
Bei ya kiwandani wananunua ufuta mweupe kwa Tsh 1,800. Kwa bei hyo utakudodea tu!
 
Back
Top Bottom