@Majigo,picha nilisafisha kwa jamaa yangu alikuwa na printer ya picha alinifanyia 1500kila picha. fremu nilinunua sh elfu tano kila moja. ila fremu za kununua nidhaifu sana. kwa hiyo fremu uliyoweka hapo ukienda kumuonyesha fundi makiniatakutengenezea tu maana nje ni mbao na huo urembo atajua jinsi ya kuweka