nilifanya makusudi ili leo anitafute mwenyeweNlikuambia huyo sie hukuniskia. Mkimbie uje huku kwangu. Mia
aaah we mwenyewe unataka ule pande zote unadhani napenda?
​ndio hivyo naepusha msongamano mweeeeh!!we kaaga pembeni usije umia bure
basi na we niambie yakiwa magumu huko kwa loya
Swadakta kabisakila mmoja ana nafasi yake kwa wakati wake
Weee...komaaaaaa!! sio mimikwani hukumbuki nilikuambia nakupenda ila unang'ata tu kucha
we nakuogopa bwana
jina tu linaonyesha kila mahali kukubwa nami naogopa vitu vikubwa
Tulia na mmoja. Utaitwa mapepe. Huoni mimi nlivyo tulia na Heaven on earth? tuige sisi. Mia