figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,193
- 64,612
Last edited by a moderator:
heri nimtafute wangu mmoja maana hueleweki
hongereni sana
heri nimtafute wangu mmoja maana hueleweki
hahahaha kumkuna namkuna vizuri sema Bishanga kanizidi mali.Asante. Lakini wewe mke wako mapepe. Anamtaka bishanga eti wewe huna nyumba lol. Hahaahaaa...umepatikana. Mimi kiburudisho changu hakina hizo tabia. Unajisikiaje na hii post?. mia
nasubiri huo ushauri ili akili itulieHahahahaaaa...!!. Ngoja waifu wangu Heaven on earth aje akupe ushauri na saha. Mia
Excellent here I am maana naona my husband figganigga ameniita....nasubiri huo ushauri ili akili itulie
kuna utata shanshire ana mmewe kiwatengu,anahongwa na Bishanga halafu eti mi mtu wa kumkuna tu,hiyo situation nifanyaje?Excellent here I am maana naona my husband figganigga ameniita....
Tulia na mmoja. Utaitwa mapepe. Huoni mimi nlivyo tulia na Heaven on earth? tuige sisi. Mia
figganigga, mr Excellent amenawa mikono namimi nishajitoa kwake ila he is good ngoja nianze kutafuta mbinu za kumrudisha my dear kiwatengu hao waliomchukua nashangaa kwanini hawamrudishi wakati nishapulizia dawa nliyopewa na MziziMkavu
mmmh wakati na wewe uliniomba lol sasa unajidai umetulia
Mimi nlikua nakutania tu. Mke wangu ni Heaven on earth na ninampenda sana. Mia
Mimi nlikua nakutania tu. Mke wangu ni Heaven on earth na ninampenda sana. Mia
mmmh wakati na wewe uliniomba lol sasa unajidai umetulia
nasubiri huo ushauri ili akili itulie
Pole bi dada he will be back soon...kule alikoenda kuna NETWORK?