Natafuta wakuniondoa upweke

My dear shansarie hebu njoo kwetu Handeni nikufundishe, ile dawa yakumfanya mumeo asipende wanawake wengine akiwaona anawaona kama mazombi vile..............., huoni shmejio alikuwa ndio king wawanawake humu ila sasa hata kutongoza hajui.
 
Last edited by a moderator:

nitakuja dada akirudi lazima nimlambishe hawezi kunirusha roho kiasi hiki
 
wala hujakosea kafichwa tena na Smile yaani nilivyokuwa namuheshimu hadi anachukia ila mwishowe yamenikuta haya
wewe wenzio siku hizi wanawabeba waume zao mgongoni tena wanawawekea na maji ya kukokga yenye hiliki ,mdalasini na viungo mbali mbali,wanawaogesha waume zao tena kama haitoshi huulizwa unataka Smile au unaanza na ugali ? yaani wewe acha tu................!!
 
Last edited by a moderator:

kumbeeee sasa mbona hayo nilikuwa nampa anakataa kumbe vya nje anakubali makubwa itabidi nijipande upya
mi ntamuogesha kwa asali ngoja arudi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…