na wewe ukionja mara moja tu unakaba mpaka tufumaniwe?kwani wakati unanikubalia si ulijua mi ni mke wa mtu jamani mbona wataka kunitosa dear
heri nijipange upya
nakuja tutoane baridi mpaka joto lione wivutaratiu basi wasisikie njoo pande hii nasikia baridi ujue
i can bet something is wrong somewhere,chakushangaza wengine wanajua yuko wapi mi mkewe sijui
kama si uibiwa ni nn
tugombane wapi watoto wa mjini wamejinyakulia mie mshamba kisa sijui mambo ya pwani nawekwa pending
Bi mkubwa mbona moyo wakwenda mbio hivyo...tuliza munkari, mumeo atarejea tu
Amka mpenzi yaani siku moja tu umechoka hivoumeona ee
najitahidi shemeji
Bibie Mamndenyi Mimi nimetoa Dawa kumbe wewe unataka hiyo Dawa unijaribu nayo mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa? haaaaaaaaaaa wewe unachezea Bagamoyo shauri yako. Dawa itakurudia wewe mwenyewe hunipati Ng'oooooooooooooo
Bibie Mamndenyi Umenifurahisha shauri yako unachezea Mzaramo wa Mlingotini weeeee usije kugeuka jiwe tu hahahahahahahahaahahh :smile-big:Lazima unga wa mripu ukuita huko huko uliko
Halafu bagamoyo hata miye nina mji kule kiwangwa na msata
kwa hiyo tutakwenda sawa sawia tu.
Bibie Mamndenyi Nikikufundisha Dawa usinijaribu mimi mwenyewe dawa yangu itakuumiza wewe badala ya mimi kukupenda wewe. Wewe utanipenda mimi kupita kiasi ukitaka kujaribu jaribu kwa mtu mwengine usinijaribu kwangu dawa itakula kwako.:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
Bibie Mamndenyi Nikikufundisha Dawa usinijaribu mimi mwenyewe dawa yangu itakuumiza wewe badala ya mimi kukupenda wewe. Wewe utanipenda mimi kupita kiasi ukitaka kujaribu jaribu kwa mtu mwengine usinijaribu kwangu dawa itakula kwako.
ndio mjombaDuh hawa ndio masupa staa wa Jf auu?