Bibie
shansarie Ninakupa Dawa ya kiziguwa nenda sokoni kariakoo nyuma ya posta ya
kariakoo kuna sehemu wanauza dawa za mitishamba kanunuwe hapo kwa Wakwere ndio wanaouza hizo Dawa kanunuwe
dawa inaitwa Unga wa Mripu kisha njoo nyumbani kwako weka mkaa wa moto utie huo unga wa mripu kwenye huo mkaa
wa moto kidogo kidogo uwe unamuita mara 7 kwa jina lake huyo mpenzi wako na useme wewe Mripu nenda kamripue (fulani bina fulani ) utaje jina lake na la baba yake
kamripue moyo wake aje kwangu mimi na anipende sema hivyo wakati unauchoma huo mripu kwenye moto taratibu rudia
rudia hivyo mara 7 kisha uache moshi uunguwe atakuja huyo mpenzi wako haraka iwezekanavyo fanya hivyo kisha uje unipe
feedback. Nimekupa Sayansi hiyo ya Tiba Mbadala.