Mimi ni mjasiriamali mdogo ninatengeneza chama za watoto (jamii ya popcorn kwa kizungu corn puffs). Pakti ziko designed kuuzwa sh 200 Moja kwa muuzaji wa mwisho, wewe kama wakala nitakuuzia shilling 120 kwa bei ya jumla wewe utauza 160 kwa wateja wako ambao watauza 200.
Wateja
Ni walimu wanaouza bidhaa mashuleni
Wamama wanaouza nje ya shule
Maduka ya mangi
Wachuuzi wa stendi mbalimbali
Kinachotakiwa ni kupush volume Ili kupata commission ya kueleweka mzigo wa laki Moja na ishirini commission Yako ni elf 40 ukiuza wote. Tuna mawakala wanaouza mzigo wa 360,000 kwa wiki hivo anapata 120,000 weekly.
Serious people karibu PM.