Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Ambao haudhuru wengine
Huo ukoje kaka ? Nawaza hapa,tujaribu kujadili maana ya Uchawi kwanza ili tupime unachokiandika ni kweli au la..?!

Sababu ni na vitabu kadhaa vinavyoelezea Uchawi,na hili naona ni jipya kwangu.
 
Ok lakini nataka tuwe na tafsiri moja huru kwa wote bila kuegama viasili vya kiimani na dini za kuletewa zilizokuwa na malengo yake
Haina tatizo. Ila vipi kama hizo dini za kuletewa ndiyo zina ukweli zaidi,vipi tuuache ukweli kisa ni dini za kuletewa au akili inakuelekeza vipi ? (Hili lifanye kama akiba).

Lakini ukiwa unatoa maana ya maana ya uchawi inabidi tuishi katika maana ya maana nayo ni :

Maana ya maana ni kuzuia yale yote yasiyo husu neno husika au kitendo kuingia na kuruhusu yaingie yale yote yanayo husu neno au kitendo husika.

Tuendelee...
 
Huo ukoje kaka ? Nawaza hapa,tujaribu kujadili maana ya Uchawi kwanza ili tupime unachokiandika ni kweli au la..?!

Sababu ni na vitabu kadhaa vinavyoelezea Uchawi,na hili naona ni jipya kwangu.
Labda nitumie neno la kilugha cha kigeni... Kuna kitu kinaitwa fantasy witchcraft.. Si kwa ajili ya kudhuru wengine bali kujifunza na kushibisha ubongo maarifa
 
Safi kabisa,sababu katika maneno ya kimtaani huwa tunasikia kuna "Mchawi wa soka" na mfano wake,haya maneno huwa hayagusi hakika ya neno ila kwa maana tu ya juu.

Sasa uchawi ni nini hasa.

Hapa umenikumbusha jambo moja,kuna mwanachuoni mmoja alipata kusema hivi "Nilijifunza shari ili niijue niweze kuiepuka na si kwa ajili ya kuifanya". Ila si kila kitu unatakiwa kujifunza.

Sijui kama tuko pamoja hapa...
 
Kidogo sasa tunaelekea kumoja
 
Mkuu Kwa nn usivichome Moto hivyo vitunguli km umeamua kuondoka huko,badala yake unataka umkabidhi mtu.Au hauna uhakika na uendako so unapika upepo kwamba mambo yakienda ndivyo sivyo uurudie ubaridi..
 
Ni uamuzi tu mkuu bado kuna wahitaji ... Na tayari nimeshapata warithi kama watano hivi PM , japp wawili ndio wako serious
 
Back
Top Bottom