Haramu si hisia zaidi,sababu mambo ya haramu yote madhara yake yanajulikana. Utaniambia vipi ya kuwa riba ni jambo la kihisia wakati tunaona lijavyowaumiza watu,utaniambia vipi pombe ni jambo la kihisia wakati linadhuru afya ya akili ya mtu ? Utaniambia vipi zinaa ni jambo la kihisia wakati uhalisia tunauona ? Hapa shida iko kwako katika uelewa wa tamko imani,hakuna imani bila matendo. Huwezi kuvitanganisha viwili hivi.Hapo juu kuna shida kidogo, haramu ni hisia ya kiimani zaidi kuliko uhalisia. Na haramu inatofautiana toka imani moja hadi nyingine, haramu kwako ni halali kwa mwingine na kinyume chake
Sahihi kabisa si kila haramu inadhuru afya ya akili,huo ulikuwa ni mfano katika suala hilo,kuna haramu ya kuharibu mali,kuharibu nasabu,heshima na mfano wake....Na si kila haramu inadhuru afya ya akili na kukufanya mjinga! Naomba nikusahihishe pia kwenye neno mjinga...labda ungetumia mpumbavu, kwakuwa mjinga ni asiyejua akijua ujinga humtoka, lakini mpumbavu ni yule aliyepewa maarifa lakini asiyatumie
Haramu ziko nyingi kiimani, kisheria na kijamii pia
Hapo kila kimoja huwa haramu baada ya kwenda kinyume na sheria ya dini ?Nyama haramu
Pesa haramu
Dini haramu
Mapenzi haramu
Dawa haramu nknk
Sahihi kabisa.Kinachoharamisha ama kuhalalisha kitu ni hayo mambo niliyotaja hapo juu IMANI, SHERIA NA JAMII,ukitaka kwenda ndani zaidi unakuta kuna mila, desturi na tamaduni pia ... Lakini hivi tunaweza kuviingiza kwenye jamii
Haramu kuifanya kwake ni uovu,sababu uhusisha matendo,kwahiyo huwezi kutenganisha kati ya uovu na kufanya haramu. Anayetenda ya haramu huyo ni muovu.Haramu haimfanyi mtu kuwa muovu...uovu ni tabia ni hulka... Mtu mwema anaweza kufanya haramu (kwa tafsiri ya jamii yake kiimani na kisheria) lakini asiwe mwovu.. Uovu una vinasaba vyote vya rohombaya
mfano wa haraka ni hii Demokrasia,demokrasia ni haramu na ni ushetani kidini,na ukija kiuhalisia una madhara mengi kuliko faida.Haramu si hisia zaidi,sababu mambo ya haramu yote madhara yake yanajulikana. Utaniambia vipi ya kuwa riba ni jambo la kihisia wakati tunaona lijavyowaumiza watu,utaniambia vipi pombe ni jambo la kihisia wakati linadhuru afya ya akili ya mtu ? Utaniambia vipi zinaa ni jambo la kihisia wakati uhalisia tunauona ? Hapa shida iko kwako katika uelewa wa tamko imani,hakuna imani bila matendo. Huwezi kuvitanganisha viwili hivi.
Sahihi kabisa si kila haramu inadhuru afya ya akili,huo ulikuwa ni mfano katika suala hilo,kuna haramu ya kuharibu mali,kuharibu nasabu,heshima na mfano wake.
Tamko mjinga hapo lilipo kaa ndiyo mahala pake sababu wengi hufanya mambo kwa ujinga yaani kutokujua hakika ya mambo,ndiyo maana tunakumbushana na kusahihishana. Mpumbavu huwa ni wa kupuuzwa na kuachwa sababu yeye hujiona anajua wakati hajui na hajui kama hajui.
Sahihi kabisa kiimani haramu ziko nyingi,ila haramu ya kijamii na kisheria kwa maana ya kiutawala siharamu kiuhalisia,sababu kiada na desturi (jamii) na kisheria kuna halali nyingine ambazo ni haramu,mfano wa haraka ni hii Demokrasia,demokrasia ni haramu na ni ushetani kidini,na ukija kiuhalisia una madhara mengi kuliko faida. Kwahiyo haramu ya hakika na kufanyiwa kazi ni haramu walizo kuja nazo mitume.
Hapo kila kimoja huwa haramu baada ya kwenda kinyume na sheria ya dini ?
Kuna kanuni/kaida moja inasema "Asili ya kila jambo ni halali mpaka utakapo kuja ushahidi unao haramisha jambo hilo"
Sahihi kabisa.
Haramu kuifanya kwake ni uovu,sababu uhusisha matendo,kwahiyo huwezi kutenganisha kati ya uovu na kufanya haramu. Anayetenda ya haramu huyo ni muovu.


Naomba ufafanuzi hapo nimezingwa kunga'mua uharamu wa demokrasia kiimani na kijamiiiUnaupimaje usahihi wa kile unachikiona ya kuwa kwako hakina madhara.Sasa nikikujibu marejeo yangu ya juu ya kipi kinafaa na kipi hakifai ni hivi
Jambo lolote ambalo halina madhara kwangu wala kwa wengine hilo kwangu ni halali kujifunza na kulitumia
Jambo lolote ambalo lina madhara yoyote kwangu na kwa wengine nitajifunza kwa tahadhari ili nielimike nalo lakini sitaeza kulitumia popote
Hii siyo faida ndiyo maana nakuuliza sana kuhusu marejeo yako na mizani yako kadhalika.Faida moja kubwa nitakayojivunia daima kwa kujifunza kwangu USHIRIKINA (uchawi, ulozi, uganga wa kienyeji na kuwanga) ni mimi kuwa mkufunzi mahiri wa kuwapa watu elimu n maarifa ya bure kuhusu hayo mambo na kuwachomoa wengine wasipigwe ama kuingizwa kwenye viapo na maagano mabaya
Hizi zama mtume wetu alishazitabiri,kwamba itafikia kipindi batili itaonekana kama haki,na watu kuikumbatia.Leo hii wana JF na wasomaji wengine wengi wako fully equipped na mambo ya kishirikina na wanatembea kifua mbele hawababaishwi kwa sababu yanguNinapoachana na mikoba naachana nayo kwa mafanikio makubwa ya kujivunia na ninapotafuta mrithi ninajua kwa hakika kwanini nafanya hivyo![]()
![]()
![]()
![]()
Swali zuri Uislamu hauutamhui mfumo huu wa Demokrasia sababu msingi wa ujenzi wa sheria ni makubaliano ya watu na kinyume na muongozo wa Mola,huu ni ukafiri.mfano wa haraka ni hii Demokrasia,demokrasia ni haramu na ni ushetani kidini,na ukija kiuhalisia una madhara mengi kuliko faida.Naomba ufafanuzi hapo nimezingwa kunga'mua uharamu wa demokrasia kiimani na kijamiii
Je kuna imani haziitambui demokrasia? Yaani zimeiharamisha? Kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zama mtume wetu alishazitabiri,kwamba itafikia kipindi batili itaonekana kama haki,na watu kuikumbatia.Unaupimaje usahihi wa kile unachikiona ya kuwa kwako hakina madhara.
Mfano kwako wewe uchawi hauna madhara ? Ukiwa unajibu swali hili ujue kabisa kuna madhara ya kimaana na kihisia.
Sasa kwanini unajisifia juu ya uchawi na uchaw una madhara kwa kila mtu kimaana na kihisia ? Tena unafika mbali na kujitangaza kabisa.
Hii siyo faida ndiyo maana nakuuliza sana kuhusu marejeo yako na mizani yako kadhalika.
Wewe ni mshirikina ? Unaufanyia kazi ulozi ?
Hizi zama mtume wetu alishazitabiri,kwamba itafikia kipindi batili itaonekana kama haki,na watu kuikumbatia.
Ulitakiwa kwanza ujikite katika usahihi wa jambo lako hili. Lakini swali ni je kile ulichowafundisha kwa dhati yake chenyewe ni SAHIHI yaani umepatia ?
USHIRIKINA ni nini ? Kwa ufupi ushirikina ni kutafuta msaada kwa asiyekuwa Mola muumba (Hapa tunayatoa yale yote anbayo yako nje ya uwezo wa mwanadamu,kama vile kuomba msaada wa hela,au ushauri au nasaha,hivi viko ndani ya uwezo wa mwanadamu). Sasa vipi ujivunie upotoshaji labda kwa sababu hujui kaka hili ni kosa,hapa utapewa udhuru ila kama unajua hili ni kosa na hujatubia basi bishara mbaya sana juu yako.



Hapa ndio kidogo huwa tunapishana mimi na wewe kwakuwa unajadili kiimani yako zaidi wakati huu si mjadala wa kidini...
Swali zuri Uislamu hauutamhui mfumo huu wa Demokrasia sababu msingi wa ujenzi wa sheria ni makubaliano ya watu na kinyume na muongozo wa Mola,huu ni ukafiri.Swali zuri Uislamu hauutamhui mfumo huu wa Demokrasia sababu msingi wa ujenzi wa sheria ni makubaliano ya watu na kinyume na muongozo wa Mola,huu ni ukafiri.
Kwenye demokrasia mwenye nyingi ndiyo anapewa na kutangulizwa,wakati kiuhalisia haitakiwi mwenye elimu,mwenye maarifa,muadilifu na mwenye uchungu na maslahi ya watu ndiyo hutangulizwa,siyo kila mtu anapaswa kuchagua kiongozi na si kila mtu anafaa kuwa kiongozi.
Uongozi hauombwi na katika dini mwenye kuomba uongozi hatakiwi kupewa.
Hakuna uhuru usio kuwa na mipaka,kwani uhuru usio kuwana mipaka ni utumwa wa kujitakia. Siyo kila mtu anapaswa kuongelea jambo fulani,bali wenye jambo lao na walio pewa dhamana ndiyo hupaswa kuongelea jambo.
Na mengine mengi...




Mkuu je tunauweza kuuepusha huu mjadala na kuutenga na imani yako ili tuweze kuwa huru kujadiliana?Hili nalijua lakini,tunaishi maisha yetu yote kuutafuta ukweli,na hili nilikuuliza huko nyuma lakini hukulijibu,je kama dini ndiy zina ukweli huo ukweli tuuache ?Hapa ndio kidogo huwa tunapishana mimi na wewe kwakuwa unajadili kiimani yako zaidi wakati huu si mjadala wa kidini...
Wanaofuatilia huu mjadala baadhi yao wala hawana dini au hawana imani yako au yangu
Msingi hapa ni kupima kwa akili zetu na uhalisia. Nitakuuliza je haya niliyo yaandika yako sahihi au si sahihi yanatokea au kinyume chake,unajua dini kuiepuka ni jambo muhali sana,hasa katika kutafuta ukweli na maslahi.Mkuu je tunauweza kuuepusha huu mjadala na kuutenga na imani yako ili tuweze kuwa huru kujadiliana?
Hili nalijua lakini,tunaishi maisha yetu yote kuutafuta ukweli,na hili nilikuuliza huko nyuma lakini hukulijibu,je kama dini ndiy zina ukweli huo ukweli tuuache ?
Lakini dini haipingani na uhalisia wala akili iliyo salama.
Sasa je nikiacha dini unaweza kutupa au kunipa ukweli wa hili jambo nje ya dini ? Kama uwezo huo unao,itifaki izingatiwe fanya hivyo.
Nipo nimekusoma.. Nitakurejea japo pengine kwa kuchelewa lakini nitarudi....Msingi hapa ni kupima kwa akili zetu na uhalisia. Nitakuuliza je haya niliyo yaandika yako sahihi au si sahihi yanatokea au kinyume chake,unajua dini kuiepuka ni jambo muhali sana,hasa katika kutafuta ukweli na maslahi.
Unachotakiwa wewe pita katika mapito yako unayo yaamini na mimi nipite yangu kisha tuna nakishi hoja zetu mkweli atabainika tu. Ukweli una sifa nzuri sana,wenyewe siku zote huwa uko juu wala hakuna cha juu yake na ukweli kadhalika una mea kokote.
Kwahiyo wewe kuwa huru na jifarague unavyotaka na ukosoe ninachokiandika kwa hoja na ubainifu kisha mimi nitafanya vivyo hivyo. Huu ndiyo uhuru katika mjadala. Mathalani juzi kati humu ndani kuna mtu alikuwa ana dai ya kuwq Ibrahiim alikuwa Myahudi,nikamuomba ushahidi toka katika vitabu anavyo viamini lakini hakuwa na ushahidi huo,maana yake yeye ni uongo sababu nimempa uhuru katika jambo la kihistoria na tena la kiimani. Mimi nikamwamba Ibrahiim alikuwa Muislamu na ushahidi nikampa. Kwahiyo hivi ndivyo mambo yanavyo enda.
Mathalani katika uliyo kuwa unayaandika yapo tunayo afikiana na hayo nakubali,sasa katika yale tunayotofautiana wewe pita mapito yako na mimi nipite mapito yangu naamini tutakutana katika ile njia ya apanda (njia panda).
Tuendelee...





Tuko pamoja. Mimi ngoja niendelee kupiga shule,haya ndiyo maisha yetu tuliyo yachagua.Nipo nimekusoma.. Nitakurejea japo pengine kwa kuchelewa lakini nitarudi....![]()
Si kweli ndiyo maana nilianza kwa kumuiluliza maswali ya asili ya uchawi na historia yake. Kama umefatilia mjadala utaona. Hakuna sehemu ambayo imedhibiti haya mambo kuliko dini,ila hawa unakuta wanajishughulisha na haya mambo lakini hata asili na chimbuko la haya mambo hawajui.Unajadili dini wakati ili upate elimu ya hayo mambo kwa upana wake na ukubwa wake lazima utoke nje ya dini..
Ukisoma vitabu vya elimu ya mijadala usikimbilie kwenye kushindwa sababu unacho kionyesha wewe ni kukata tamaa. Hata niwe nimeandika nini,unachotakiwa wewe kufanya ni kukosoa ninacho kiamini mimi kwa hoja na ubainifu kisha unaweka ukweli, ukweli una sifa ya ajabu sana,ywani ni mchungu kwa muktadha fulani ila ji mtamu sana ukiujua na kuufanyia kazi.atapata tabu kukuelezea sababu akili yako haipo open kupokea baadhi ya mambo ambayo tayari dini yako imeshakufunga usipokee.