Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Ladha halisi ya kitu utaijua utakapokionja..nje ya hapo zitakuwa tu simulizi za kufafanisha vitu
Ingekuwa vinanisaidia kuishi milele kutokufa ningewirithi nje ya hapo ni kuukimbiza upepo.Life is too short.
 
Vipi hiyo mizimu, mapepo na majini uliyokuwa unayatumikia hayawezi kukuwahi???

Maana unataka kuyasariti.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ufafanuzi tafadhali.

Maana yake ile kauli yako uliyosema ya kuwa kuna Uchawi wenye manufaa,inakinzana na maana yako hii ya Uchawi.
Hapana haikinzani bali sasa hizo ni aina za uchawi... Kumbuka hata kama ni nguvu hasi kiroho lakini bado haimzuii mtu kujifunza na kuelimika
 
Na naomba nikuulize swali.

Kwamba kabla hujatundika dilunga vipi ulisharoga watu wangapi, ulishakomoa na kusaidia watu wangapi?

Kubwa kuliko yote Ni faida gani ulikuwa unazipata kwa kujishughukisha na hizi Mambo bila kusahau ugumu wake na changamoto Kama zipo.

ASANTE.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Na naomba nikuulize swali.

Kwamba kabla hujatundika dilunga vipi ulisharoga watu wangapi, ulishakomoa na kusaidia watu wangapi?

Kubwa kuliko yote Ni faida gani ulikuwa unazipata kwa kujishughukisha na hizi Mambo bila kusahau ugumu wake na changamoto Kama zipo.

ASANTE.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kuna baadhi ya maswali sitaweza kujibu ila kwa kusaidia tu nimesaidia wengi sana... Kuhusu kukomoa niwe mkweli kuna watu nimewafanyia undava baada ya kutaka kunipanda kichwani na kujiona wao ni zaidi
Daima watu wabaya hufanyiwa mambo mabaya... Sijawahi kumdhuru asiye na hatia na huo ndio ukweli wangu
 
Asante.

nisikuchoshe.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Tupe masharti kwanza ndio tuchague

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom